Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

download (6).jpeg
 
Kuna mmoja aliwahi kupewa mamlaka mahali. Alikuwa bonge la kilaza. Hawana lolote. Wanaongoza kwa kukariri na kutumia nguvu kusoma. Wazito kuelewa hao. We labda hujui. Bora useme wanyakyusa au wachaga.
 
Mbona niliosoma nao walikuwa hawatumii nguvu kusoma kabisa mkuuuu yaani wao ilikuwa ni nature kabisa kufaulu mkuuu
 
Back
Top Bottom