Naomijacob
Member
- Aug 7, 2018
- 5
- 4
Njoo ubebe tayari nimeshafunga kilago, vigoda na vyungu vyetuhaya tuhame usiku huu huu
nishakuona hutaki tuondoke huku leoNjoo ubebe tayari nimeshafunga kilago, vigoda na vyungu vyetu
Au tuhame kesho mchana ili tusibebe hawa mbu wa huku?π€nishakuona hutaki tuondoke huku leo
bora tuhame nao hawa hawa waliotuzoea hao wengine watakimbia maana hawana unduguAu tuhame kesho mchana ili tusibebe hawa mbu wa huku?π€
Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
πππ Nimekuvulia kofia yaani hawa mbu wanavyotutesaga mpaka tunakesha jf usiku wa manane bado tu unatamani tuhame nao kwa kisingizio kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha?bora tuhame nao hawa hawa waliotuzoea hao wengine watakimbia maana hawana undugu
aliyekwambia wahenga waliongopa nani ?πππ Nimekuvulia kofia yaani hawa mbu wanavyotutesaga mpaka tunakesha jf usiku wa manane bado tu unatamani tuhame nao kwa kisingizio kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji40]aliyekwambia wahenga waliongopa nani ?
πππHirizi huwa zinatulia vyema katika mkoba au mfuko wakati tulivu wa Usiku ila kwa mchana huwa zinasumbua sana hadi zinaweza hata zikakuumbua na ukaumbuka ile mbaya.
duh aiseeπππUchafu wa magodoro, uchafu wa vifaa vya ndani, na wengine hawataki kuonekana kwa wadeni wao
πππKila mtu afanye yanayomuhusu.. sisi sio wajinga kuhama usiku eeebo hatutaki mjue ndo maana tunahama night