Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mshamba kadandia gari kwa mbeleNi lini Mbowe alianzisha CHADEMA?.
Wewe umeanzisha nini?Lissu amewahi kuanzisha nini kinachoisaidia jamii inayomzunguuka? Jibu hili. Anasifu vijana waliowahi kuanzisha taasisi lakini yeye hana hata bustani ya miche ya miti ya kivuli.
Kwa hiyo kuanzisha ndio kunamfanya awe mmoliki wa Chadema?soma, siyo unaishi ka zezeta la taifa wakati bado kijana mdogo .
Kasome watu 10 waasisi wa CDM.
Ndio hapo huyu hajui hata historia ya Chadema kilivyoanzishwa daahKama mbowe kaanzisha chadema, akina mzee mtei na bob makani wameanzisha nini?
Lissu mpaka akina mbowe wanamwingiza chadema alikuwa anapigania haki za watu huko mara
Hizo hela za Abdul zilizomwagwa kumtetea Sultan Mbowe zimewafikia hata vilaza ambao hawajui watetee kwenye angle gani ndiyo huyu kapuku eti Mbowe alianzisha Chadema, upuuzi mtupu.Ndio hapo huyu hajui hata historia ya Chadema kilivyoanzishwa daah
Kiongozi huyo ni mtoto wa elfu mbili unamchanganya ukimtajia hao watuUnamjua Mzee Mtei,Bob Makani?
Aliikuta, hata kama alianzisha hapaswi kukaa mileleMbowe hakuanzisha Chadema
Kabisa, hatutaki madikteta. Wakiishi wanachokiteteaAliikuta, hata kama alianzisha hapaswi kukaa milele
Hii ndio kete ya kumpa Uenyekiti?! Mbona mmeishiwa hivi...Chama cha CDM kilianzishwa na waasisi 10 kasome documents na katika watu hao Mwamba Alkael Mbowe akiwa na miaka 30 tu alikuwa among them.
Hapendi kusema sema saana uasisi wake ila watu makini sisi tunajua.
Huyu jamaa ropo mpaka leo hana hata ka kampuni kadogo ka uwakili.
Tunasema Lissu bila Mbowe ni debe tupu
LIssu kama akianzisha chama chake wangapi watajiunga nacho? Anadai ameumizwa akiwa kijana anaetetea haki. Huu ni uongo kwakuwa ameumia akiwa mzee kabisa juzijuzi. Je, wakati akiwa kijana kama hawa BAVICHA alianzisha nini? Hivikugoma kuwahi shule Toka akiwa Drs la tatu
Si mali yake? unajua alitumia fedha kiasi gani kuanzisha chama? kama ni rahisi si muanzishe chenu? Hivi vyama vilianzishwa kama saccos za watu. Hashimu Rungwe alianzisha chake, Cheyo alianzisha chake, Mtikila alianzisha chake, Dovutwa alianzisha chake, Prof. KIGOMA Malima nae alikuwa na chake, Mapalala na Hamadi nae alikuwa na chake, Lyatonga alikuwa na chake, Zito ana chake, Mbowe na Mtei nao wana chao, na wengine wengi. Chadema ni mali ya familia kwa mtaji ya familia. Wapuuzi wanadhani chadema ni mali ya umma wanayoweza kuitolea macho. Chadema kilikupatia ubunge, magari, majumba na ada ya wanao, Kama kimekushinda ondoka katafute kingine. Huwezi kuwa mlevi ukanywa na kulewa bangi na kumwambia Hashim Rungwe ondoka kwenye chama chako cha UMMA party kwakuwa umekaa sana na umezeeka, utakuwa mpuuzi kwelikweli.wewe ndo mpuuzi mwili mzima sasa je! MBOWE iliianzisha CHADEMA au ndo alikuja kuifuja CHADEMA
kushindwa kwa LIsU ni furaha yenu nyie..mnapauka nn sasaLIssu kama akianzisha chama chake wangapi watajiunga nacho? Anadai ameumizwa akiwa kijana anaetetea haki. Huu ni uongo kwakuwa ameumia akiwa mzee kabisa juzijuzi. Je, wakati akiwa kijana kama hawa BAVICHA alianzisha nini? Hivi
Bavicha na wanachadema lazima wafundishwe historia ya chama kabla ya kujiunga. Huwezi kumtukana tajiri mwenye mali yake, utakuwa mpuuzi kwelikweli. TANU/ CCM ilikuwa mali ya Mwl. Nyerere akisaidiwa mawazo tu na wenzzake, hasa baada ya kuiua TAA ya akina Syskes. Ndiyo maana Nyerere aliweza kumuondoa kutoka TANU/CCM mtu yeyote asiyekubaliana na yeye.Hii ndio kete ya kumpa Uenyekiti?! Mbona mmeishiwa hivi...
Mbowe atakuwa mpuuzi kama akikubali kunyang'anywa chama chake na wahuni. Mbowe ndiye anajua yale ambayo hayamo kwenye Katiba. Maana katiba ina mambo yaliyoandikwa na yasiyoandikwa lakini yote ni muhimu. Kumbuka Mtei alikuwa Gavana wa BOT pamoja na Makani, bila shaka watu wenye hadhi hiyo hawezi kuanzisha chama kinachoweza kuwatukana viongozi wa nchi kama anavyofanya huyu lopolopo wetu. Watu kama Mtei huwezi kuwa Gavana bila kuwa mtu wa system kindakindaki.Kabisa, hatutaki madikteta. Wakiishi wanachokitetea