Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

Chadema wenyewe kupitia official page yao pamoja na page za vyombo vya habari.

Upo nyonyo?
Gentleman,
ilikuaje official page watoe taarifa rasmi, halafu tena official page hiyo hiyo waseme fake 🐒
 
Gentleman,
ilikuaje official page watoe taarifa rasmi, halafu tena official page hiyo hiyo waseme fake 🐒
Official page haikutoa taarifa fake,bali ni page za baadhi ya vyombo vya habari.

Official page ya chadema imekanusha habari hiyo
 
Ukimsikiliza vizuri Lema ni wazi kabisa kuwa kumbe kulikuwa na mkakati uliosukwa kitambo wa kutoa Mbowe kwenye nafasi yake ya Uenyekiti.
Hii sio sahihi kabisa, Kiongozi aliye kijanga chama kama mbowe anafanyiwa hujuma za chini kwa chini!!! hapana hilo sio sahahi, huko ni kumkosea heshima Mbowe.
 
Lissu 4 changes!
Kumbuka mazingira yaliyofanya Mugabe wa Zimbabwe aondolewe!
Alikuwa ameifanya Zimbabwe kama shamba lake.
 
Wakati ni ukuta, vinginevyo neno demokrasia liondolewe kwenye nembo ya chama.
 
Back
Top Bottom