Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Mbona ka umeumia hivi mie kutoa maoni yangu,, hili jukwaa huru/nchi huru, relax kidogo, au nyie ndo wale mnauaga watu kisa tu mmeshawishiwa na wanasiasa..Nasema tena, tuundie upinzani unaoiuta wa maana. Huwezi kaa kimya, usitupigie kelele.
Maoni gani hayo ya kubeza jitihada za wenzako?Mbona ka umeumia hivi mie kutoa maoni yangu,, hili jukwaa huru/nchi huru, relax kidogo, au nyie ndo wale mnauaga watu kisa tu mmeshawishiwa na wanasiasa..
Mkuu huyo kwenye avatar ndo mie huyo😂😂😂 mkuu nikiangalia avatar yako kama namuona mzee senga vile hahahaha.
Jitihada gani nilizobeza mkuu, au ndo hizi za kina mbowe? Huyo soon tu anapewa kitengo na bi mdashi alafu mwenyewe utashangaa,,Maoni gani hayo ya kubeza jitihada za wenzako?
Hana njaa hiyo. Unachofanya ni kumblackmail tu.Jitihada gani nilizobeza mkuu, au ndo hizi za kina mbowe? Huyo soon tu anapewa kitengo na bi mdashi alafu mwenyewe utashangaa,,
Mkuu hakuna anaetosheka na hela(vyeo) we ujiulizi, kwani museveni kaguta ana njaa gani lkn mbona hataki kuachia madaraka!! Na je kagame? We ujiulizi siku hizi huyo mbowe misele ya kwa bi mdashi haiishi pale jengo jeupe,, kifupi hawa wanasiasa sio watu wakuendekeza sana kiasi kwamba mpaka umchukie mwingine,, muhimu kukaza kwenye shughuli zetu zinazotupatia riziki kama mi mwenzio nilivyoboresha kazi yangu ya udalali.Hana njaa hiyo. Unachofanya ni kumblackmail tu.
Ok mkuuNimekujibu kabla ya swali Hili mkuu
Pamoja mkuuNaunga mkono hoja
Lengo la kuteuliwa kwake sio kwa sababu ya njaa yake, bali ni kwa sababu ya kuwa na serikali yenye sura ya kitaifa bila kujali chama, rangi, dini, kabila nk.Mbowe hayupo kihivyo mkuu ,Mbowe hana njaa!!
Ok mkuu, tuko pamoja 👍Mkuu huyo kwenye avatar ndo mie huyo
Lengo la kuteuliwa kwake sio kwa sababu ya njaa yake, bali ni kwa sababu ya kuwa na serikali yenye sura ya kitaifa bila kujali chama, rangi, dini, kabila nk.
Ok tusubiri muda utaongea. Maana hata mwaka 2015 kuna watu walikuwa wanabisha kwamba Chadema kamwe haiwezi kumruhusu au kumkubalia Lowasa kujiunga na chama hicho.Malengo ya mbowe kwa serikali ni kuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ,hapo ndipo sura ya kitaifa na demokrasia itakapoonekana na si kumpa vyeo mbowe.
Kwanini unasema hivi mkuu, wewe hauoni kwamba ni jambo jema serikali kushirikiana na wapinzani?Huwezi shangaa,huyo jamaa kwa figisu alizopigwa na jiwe kwasasa bora akae na watawala ili anukie tena
Ndo yote ya wezekana mradi makubaliano tu si ndo maridhiano na simple logic tu ni kwamba mama anataka waelewane tu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake wasisumbuaneKwanini unasema hivi mkuu, wewe hauoni kwamba ni jambo jema serikali kushirikiana na wapinzani?
Mbowe anastahili sana kuongoza nchi hii!Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.
Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.
Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Hakuna jambo kama hilo. Ili hayo yafanyike lazima Katiba iwe na ibara ya Serikali ya mseto kama ilivyo Katiba ya Zanzibar iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010.Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.
Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.
Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Jamaa ni mwanasiasa mwenye uzoefu na mambo ya siasa. Sio mkurupukaji kama wengine.Mbowe anastahili sana kuongoza nchi hii!
Marehem Anna Elisha Mghwira alichaguliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro huku akiwa bado mwanachama wa act wazalendo.Hakuna jambo kama hilo. Ili hayo yafanyike lazima Katiba iwe na ibara ya Serikali ya mseto kama ilivyo Katiba ya Zanzibar iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010.
Kwa sasa Katiba hii inaruhusu uwepo wa Serikali hiyo kama itatokea uwepo wa Chama chenye Wabunge wengi Bungeni, tofauti na Chama kilichoshinda nafasi ya Rais.
Ikiwa hivyo natembea uchi kutoka kigamboni mpaka mlimani cityHabari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.