DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nasema tena, tuundie upinzani unaoiuta wa maana. Huwezi kaa kimya, usitupigie kelele.
Mbona ka umeumia hivi mie kutoa maoni yangu,, hili jukwaa huru/nchi huru, relax kidogo, au nyie ndo wale mnauaga watu kisa tu mmeshawishiwa na wanasiasa..
 
Hana njaa hiyo. Unachofanya ni kumblackmail tu.
Mkuu hakuna anaetosheka na hela(vyeo) we ujiulizi, kwani museveni kaguta ana njaa gani lkn mbona hataki kuachia madaraka!! Na je kagame? We ujiulizi siku hizi huyo mbowe misele ya kwa bi mdashi haiishi pale jengo jeupe,, kifupi hawa wanasiasa sio watu wakuendekeza sana kiasi kwamba mpaka umchukie mwingine,, muhimu kukaza kwenye shughuli zetu zinazotupatia riziki kama mi mwenzio nilivyoboresha kazi yangu ya udalali.
 
Mbowe hayupo kihivyo mkuu ,Mbowe hana njaa!!
Lengo la kuteuliwa kwake sio kwa sababu ya njaa yake, bali ni kwa sababu ya kuwa na serikali yenye sura ya kitaifa bila kujali chama, rangi, dini, kabila nk.
 
Malengo ya mbowe kwa serikali ni kuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ,hapo ndipo sura ya kitaifa na demokrasia itakapoonekana na si kumpa vyeo mbowe.
 
Huwezi shangaa,huyo jamaa kwa figisu alizopigwa na jiwe kwasasa bora akae na watawala ili anukie tena
 
Ok tusubiri muda utaongea. Maana hata mwaka 2015 kuna watu walikuwa wanabisha kwamba Chadema kamwe haiwezi kumruhusu au kumkubalia Lowasa kujiunga na chama hicho.

Lakini kilichotokea kila mtu anakijua. Siku zote unaambiwa moyo wa mtu msitu hauwezi kujua ni nini mwenzako anachowaza kukifanya moyoni kwake mpaka pale atakapokifanya tayari.
 
Huwezi shangaa,huyo jamaa kwa figisu alizopigwa na jiwe kwasasa bora akae na watawala ili anukie tena
Kwanini unasema hivi mkuu, wewe hauoni kwamba ni jambo jema serikali kushirikiana na wapinzani?
 
Ndo yote ya wezekana mradi makubaliano tu si ndo maridhiano na simple logic tu ni kwamba mama anataka waelewane tu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake wasisumbuane
 
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.

Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.

Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.

Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.

Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Mbowe anastahili sana kuongoza nchi hii!
 
Hakuna jambo kama hilo. Ili hayo yafanyike lazima Katiba iwe na ibara ya Serikali ya mseto kama ilivyo Katiba ya Zanzibar iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010.

Kwa sasa Katiba hii inaruhusu uwepo wa Serikali hiyo kama itatokea uwepo wa Chama chenye Wabunge wengi Bungeni, tofauti na Chama kilichoshinda nafasi ya Rais.
 
Marehem Anna Elisha Mghwira alichaguliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro huku akiwa bado mwanachama wa act wazalendo.
James Mbatia mwenyekiti wa nccr mageuzi alichaguliwa na raisi Kikwete kuwa mbunge wa viti maalum huku akiendelea kukiongoza chama chake cha nccr mageuzi. Sasa sijui wewe unachobisha ni nini mkuu.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.

Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.

Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.

Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.

Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Ikiwa hivyo natembea uchi kutoka kigamboni mpaka mlimani city
 
Back
Top Bottom