Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

Mwanza
Mbeya
Arusha
Dar......
Pigeni jaramba......

Bandari ni sehemu NYETI kama mboni ya jicho huko ndo Injini ya Taifa inako kaa

Cc Yericko Nyerere
Atakuja Wilson Mahela na UVCCM na kuanza kusema wananchi hawahitaji bandari, wananchi wanahitaji maji, wananchi wanahitaji barabara, wananchi wanahitaji huduma za afya, wananchi wanahitaji SGR😃
 
Maskini Samia! Amevuna nini kwa Asali aliyomrundikia MBOWE. Tulimuonya lakini
 
Sijawahi kuwa na shaka na Mbowe, na sidhani kama nitawahi kuwa nayo, siku zote namuamini, wajinga watamuita mfanyabiashara na majina mengine, but deep inside, they don't know him!.
Anahoji kama wanasema huu mkataba ni mzuri na wenye faida kwa nini unahusu bandari za huku bara tu? Kwa nini bandari za Zanzibar hazijahusishwa?
 
Naona machawa wao wanatetea ooh DP world wapo adi Marekani na uingereza ...

Hivi mkataba ataoingia na Marekani na Uingereza ni sawa na atao Negotiates na Tanzania? Nchi iliyojaa viongozi wa Kimangungo na walamba Asali ?

Kwanza power aliyonayo Marekani na UK kwenye Negotiations sie tunayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…