Vijana wa Chadema niwashauri msiazime vichwa vyenu kwa watu...Nyie mnaamini sana binadamu kuliko hata nafsi zenu...Kwakua kasema Mtu wenu wa chama nyote mmehama, angesema haya mtu baki mgepinga hata bila reasoning...Huu uchama huu ulaaniwe...
Nimsifu tu Mwenyekiti wenu kwakutanguliza utaifa mbele, kwa hili japo mimi CCM kwaajili ya taifa langu nipo naye
Nimsifu tu Mwenyekiti wenu kwakutanguliza utaifa mbele, kwa hili japo mimi CCM kwaajili ya taifa langu nipo naye