Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Si mbowe bali ni mkatabaNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mbowe bali ni mkatabaNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Jaramba lipi ?!!![emoji15][emoji15][emoji15]Mwanza
Mbeya
Arusha
Dar......
Pigeni jaramba......
Bandari ni sehemu NYETI kama mboni ya jicho huko ndo Injini ya Taifa inako kaa
Cc Yericko Nyerere
Point ya kuufurahisha moyo wako na kugusa hisia zako tu?!!!Vizuri Sana Ndugu Mbowe, kaongea pointi mno. Nimesikiliza pia
Haya mambo ya uwekezaji si mepesi....Anasema ameambiwa pia Kuna mengi ambayo yatafanyika nje ya mkataba
Binafsi nilichosokitika ni ile anasema dp world wamepewa exclusive rights kwenye ardhi yoyote wanayotaka kwa ajili ya kufanya kazi zao
Mwanasiasa huyo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliyosema leo, kama nilisema amelamba asali basi namuomba msamaha. Ametanguliza maslahi ya taifa mbele
Muunge hata mguu [emoji1787][emoji1787]Naungana na MBOWE, huyu mama wa Kizanzibari ana lake jambo
Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.[emoji419][emoji375]Ndio maana nilikuwa namsubiri kwa hamu sana huyu mtu azungumze, kwasababu nilijua tu, linapokuja suala la maslahi ya taifa hajui kumun'gunya maneno.
Nashangaa kuna vipofu walikuwa wanaulizia kwenye ule mkataba miaka 100 iko wapi, wao wakadai hawaioni, wakashindwa kutazama vipengele vingine kwenye ule mkataba, kisha wajumlishe na zao kichwani ili wapate jibu.
Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.
Rais na watendaji wake wanatakiwa kuhukumiwa vifungo virefu gerezani kwa hii dhambi waliyolitendea taifa letu, dhambi itakayoviumiza mpaka vizazi vijavyo, hawana huruma kwetu hawa viumbe, walaaniwe!.
Itakuwa hajapewa fungateNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Wanapokea totoz za fom6Hivi hawa ma CDF wetu uwa wana kazi gani?
Alishamaliza
Unaweza kumsikiliza hapa chini
Umeandika Kwa uchungu sanaNdio maana nilikuwa namsubiri kwa hamu sana huyu mtu azungumze, kwasababu nilijua tu, linapokuja suala la maslahi ya taifa hajui kumun'gunya maneno.
Nashangaa kuna vipofu walikuwa wanaulizia kwenye ule mkataba miaka 100 iko wapi, wao wakadai hawaioni, wakashindwa kutazama vipengele vingine kwenye ule mkataba, kisha wajumlishe na zao kichwani ili wapate jibu.
Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.
Rais na watendaji wake wanatakiwa kuhukumiwa vifungo virefu gerezani kwa hii dhambi waliyolitendea taifa letu, dhambi itakayoviumiza mpaka vizazi vijavyo, hawana huruma kwetu hawa viumbe, walaaniwe!.
Hawa chadomo wanatabia za umalaya malaya, hawaeleweki hata kidogo.Wanapenda kama hivi kuuza bandari, loliondo, mara wamekwapua pesa kwenye mradi
Si wezi wenzao wakibanwa wanakuchukia wanakuita DIKTEKA ila ukila nao wanakuambia unaupiga mwingi 😂
Kakudanganya na wewe umedanganyika.Ndio maana nilikuwa namsubiri kwa hamu sana huyu mtu azungumze, kwasababu nilijua tu, linapokuja suala la maslahi ya taifa hajui kumun'gunya maneno.
Nashangaa kuna vipofu walikuwa wanaulizia kwenye ule mkataba miaka 100 iko wapi, wao wakadai hawaioni, wakashindwa kutazama vipengele vingine kwenye ule mkataba, kisha wajumlishe na zao kichwani ili wapate jibu.
Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.
Rais na watendaji wake wanatakiwa kuhukumiwa vifungo virefu gerezani kwa hii dhambi waliyolitendea taifa letu, dhambi itakayoviumiza mpaka vizazi vijavyo, hawana huruma kwetu hawa viumbe, walaaniwe!.
Uwekezaji tangu lini uliwahi kuwa na Limit ya Muda? Tuambie DANGOTE amepewa miaka mingapi kule Mtwara?Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app