denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kwasababu wanatudharau sana.Swali muhimu la kuuliza hapa ni kwa nini watu, tena viongozi wa nchi, wenye akili timamu wanaweza kufanya jambo kama hili. Kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu wanatudharau sana.Swali muhimu la kuuliza hapa ni kwa nini watu, tena viongozi wa nchi, wenye akili timamu wanaweza kufanya jambo kama hili. Kwa nini?
😳 Kivp?Mwanza
Mbeya
Arusha
Dar......
Pigeni jaramba......
Bandari ni sehemu NYETI kama mboni ya jicho huko ndo Injini ya Taifa inako kaa
Cc Yericko Nyerere
Tatizo wao kama upinzani wangetakiwa kuonyesha nguvu yao sasa na sio kuongea tuu kirahisirahisi na kuja kusubiri siku ya kampeni za uchaguzi na kusema kuhusu bandari.Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Niwekee huo mkataba wako wa ukweli, iko siku utapata akili, muda bado upo, usikate tamaa endelea kusubiri!.Kakudanganya na wewe umedanganyika.
Huo nkataba unaoongelewa uko wapi? mbona hauwekwi hapa?
Aendelee kumsifia mama na kuwakataza watu kumkosoaNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Nashangaa kwa nini Lavrov anatuzunguka tu...yupo Burundi, Uganda, na kwingine lakini Dodoma hatui!!! Wameishaona hapa Kuna....ameongea
SureKakudanganya na wewe umedanganyika.
Huo nkataba unaoongelewa uko wapi? mbona hauwekwi hapa?
Walioweka hizo Saini ni makada wa ccm. Mbarawa na sir 100CCM hapa inaingiaje kwamfano?
Huna akili![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa matukio....
Wazee wa siasa za matukio tena.....
Mbowe aimshe nchi gani ?!!!
Iliyo mfukoni mwake?!!!
Watanzania walio wengi wanamuelewa mama ,wanampenda yeye na serikali ya awamu ya 6....Mbowe amerudia ulevi wake ?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
Mpe wa mama ako broSasa mpemba nani?!!!
Mh.SSH ni mmakunduchi.....
Kama hujui madogo utayajua makubwa ya mikataba ?!!!!
Nina rafiki yangu anahitaji mg....ngo wako....nipe namba yako nimtumie.....
Kiongozi awe kama pambo tu ..unachekeshe kabisa hamna nchi kama hiyo duniaumeongea kipuuzi sana bila ku-reason,ni lini ushaona kiongozi bora akawa mzizi wa matatizo ya africa???
africa inahitaji mfumo bora wa kiutawala na sio kiongozi bora.......kiongozi awe kama pambo tu ila wanaotawala nchi wawe watu makini,wenye maono na uzalendo wa hali ya juu na ambao wanaweza wakamfundisha rais jinsi ya kufanya kazi na sio rais awafundishe wao jinsi ya kufanya kazi
Hii hufanywa na almost nchi zote zilizo endelea duniani...............
BE OPEN MINDED
Tunamuomba atusamehe sana...Kwani yule aliyesema ipo siku nchi hii itapigwa mnada anasemaje
Hiyo mifumo ya tehama haihitaji hata 10b kuwekeza ,ni utashi tu kwa kisiasa ,rais anasimama anasema mifumo haionani ,anakuja waziri naye ,wakati kuna vijana tu wa kwaida wanaweza kufanya hiyo kaziMafisadi ndio wanaopinga uwekezaji huu wa DP.....
Mafisadi hawataki mifumo ya TEHAMA isomane kati ya TPA na TRA.....
Kuja kwa wawekezaji ni MSUMARI WA MOTO KWAO.....
Mbowe anapotosha....
Mbowe ni MWONGO......
#SiempreJMT[emoji120]
Kwa hiyo Mama kuna mengi ambayo ameyaingia nje ya mkataba.Anasema ameambiwa pia Kuna mengi ambayo yatafanyika nje ya mkataba
Binafsi nilichosokitika ni ile anasema dp world wamepewa exclusive rights kwenye ardhi yoyote wanayotaka kwa ajili ya kufanya kazi zao
Huo hapoView attachment UCHAMBUZI WA SEKRETARIET (1)_230607_210002.pdfKakudanganya na wewe umedanganyika.
Huo nkataba unaoongelewa uko wapi? mbona hauwekwi hapa?
TPA ni ya Tanzania, TRA ni ya Tanzania, serikali inashindwa vipi isisomane?Mafisadi ndio wanaopinga uwekezaji huu wa DP.....
Mafisadi hawataki mifumo ya TEHAMA isomane kati ya TPA na TRA.....
Kuja kwa wawekezaji ni MSUMARI WA MOTO KWAO.....
Mbowe anapotosha....
Mbowe ni MWONGO......
#SiempreJMT[emoji120]