Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

Unataka ushahidi gani ww pimbi, mkataba si uko wazi kwenye mitandao uusome , kiki kwenye maslahi ya taifa inatoka wap ,badilika
Mkataba hata kusainiwa haujasainiwa,umewekewa vipengele vya kuvunja mkataba,mnasema mkataba Mara wa miaka miaka mia,Mara wa milele
 
Hiyo mifumo ya tehama haihitaji hata 10b kuwekeza ,ni utashi tu kwa kisiasa ,rais anasimama anasema mifumo haionani ,anakuja waziri naye ,wakati kuna vijana tu wa kwaida wanaweza kufanya hiyo kazi
Hujiulizi ni kwa nini Rais anayeonekana ni mzalendo zaidi na ninyi hayati JPM naye alishindwa kuifanya mifumo hiyo isomane?!!!!

Mama anathubutu kuwa zaidi ya WALIOPITA......
 
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.

Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha

Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Hakuna kiongozi mwenye kuipenda nchi yake akakubali ujinga huu ambao unafanywa na hii serikali. Na sijui umuhimu wa Jeshi na TISS ni upi kama wanashindwa kuzuia na kufichua ni akina nan wanahusika na uchafu huu. Kuna Muda natamani tujigawane kima jimbo tu maana huu upuuzi hauvumiliki kabisa
 
Aliyosema leo, kama nilisema amelamba asali basi namuomba msamaha. Ametanguliza maslahi ya taifa mbele
Wabongo bwana, kaaazi kweli kweli. Hujui yupi amesoma, yupi mburura.....wote wanaweza kufidamishwa tu na watu wajanja kama mbowe.
Leo mbowe kawa shujaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tumsubirie na Dr slaa kesho au keshokutwa nae aje ajichukulie points za mburura hapa; lazima atetewe kwa uamuzi wake wa 2015.

Wengi humu hawsdshamu chochote kuhusu huo mkataba
 
Hakuna kiongozi mwenye kuipenda nchi yake akakubali ujinga huu ambao unafanywa na hii serikali. Na sijui umuhimu wa Jeshi na TISS ni upi kama wanashindwa kuzuia na kufichua ni akina nan wanahusika na uchafu huu. Kuna Muda natamani tujigawane kima jimbo tu maana huu upuuzi hauvumiliki kabisa
TISS wana akili na wanajua kuliko wewe, tuliza kitenesi hiko
 
Muunge hata mguu [emoji1787][emoji1787]

Mama amelifuatilia hilo kwa upembuzi yakinifu....amejiridhisha kuwa UWEKEZAJI huo utakuwa na tija kwa taifa maradufu ya kinachopatikana bandarini....mafisadi ambao Mbowe anawasupport wanataka STATUS QUO iendelee....yaani MIFUMO ya TEHAMA iendelee kutokusomana kati ya TPA na TRA .....

#SiempreJMT[emoji120]
Kwani huu mkataba una ukomo wa muda gani?
 
Hao wameshindikana,labda nature ndiyo iamue

Ova
Daah hao jamaa ni kama wale drug cartels mkuu wapo Durban na ofisi yao ila wamekosa Tenda kama hiyo ya Daslm hapo Durban na Eastern Cape nadhani watapewa Kampuni nyingine kilichonishangaza ni kuwa hakuna mshindani ni kampuni moja tuu harafu eti wanachaguliwa wakina Msukuma kwenda Dubai kazi tunayo kwani kampuni bora lazima watu waende huko hawajaona kuwa ni ngumu hasa kwa hawa majasusi ya biashara kufanya lolote ili hawa wakina Msukuma waje waongee chochote ili mradi kampuni ya Wahuni ipite...
 
Hujiulizi ni kwa nini Rais anayeonekana ni mzalendo zaidi na ninyi hayati JPM naye alishindwa kuifanya mifumo hiyo isomane?!!!!

Mama anathubutu kuwa zaidi ya WALIOPITA......
Sina chuki na mtu ila sjawahi kumuona rais Tanzania ameingia madarakani ila watasema yeye ni bora zaidi kuliko mtangulizi wake

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, ni mkataba wa MAISHA!

Sasa tumeanza kuongea lugha moja baada ya matimu yetu kuondolewa kwenye mashinda ya CAF.
 
Ni lini nyinyi ccm mmekuwa na uwezo wa kuchunguza akili za kizazi na kizazi kwamba hata kije kizazi cha tatu bado hakitakuwa na uwezo wa kusimamia na kuendesha Bandari zetu?

Huo mkataba unaokosa ukomo maana yake ni nini?

Huu utakuwa ni mkataba wa kwanza wenye kushangaza na kuduwaza, na huwenda ukaingia kwenye record za kidunia

Haiingii akilini,

Na badala ya kuja na majibu ya Wananchi, badala yake mnasema mnakomesha mafisadi yaliyokuwa yakipitisha bule mizigo hapo bandarini kwa kutumia majina ya viongozi!!

Huu sisi tunaita, ni uzembe wa viongozi
 
Back
Top Bottom