inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mkataba hata kusainiwa haujasainiwa,umewekewa vipengele vya kuvunja mkataba,mnasema mkataba Mara wa miaka miaka mia,Mara wa mileleUnataka ushahidi gani ww pimbi, mkataba si uko wazi kwenye mitandao uusome , kiki kwenye maslahi ya taifa inatoka wap ,badilika
Huyo na wengine wanafanya kazi ya Nazir karamagi,washavuta Chao..ticts haitorudi bandariKwa aliyozungumza Leo na kuweka maslahi ya taifa mbele, ambariki zaidi na zaidi
Massive culprit....TPA ni ya Tanzania, TRA ni ya Tanzania, serikali inashindwa vipi isisomane?
Hujiulizi ni kwa nini Rais anayeonekana ni mzalendo zaidi na ninyi hayati JPM naye alishindwa kuifanya mifumo hiyo isomane?!!!!Hiyo mifumo ya tehama haihitaji hata 10b kuwekeza ,ni utashi tu kwa kisiasa ,rais anasimama anasema mifumo haionani ,anakuja waziri naye ,wakati kuna vijana tu wa kwaida wanaweza kufanya hiyo kazi
Hakuna kiongozi mwenye kuipenda nchi yake akakubali ujinga huu ambao unafanywa na hii serikali. Na sijui umuhimu wa Jeshi na TISS ni upi kama wanashindwa kuzuia na kufichua ni akina nan wanahusika na uchafu huu. Kuna Muda natamani tujigawane kima jimbo tu maana huu upuuzi hauvumiliki kabisaNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Wabongo bwana, kaaazi kweli kweli. Hujui yupi amesoma, yupi mburura.....wote wanaweza kufidamishwa tu na watu wajanja kama mbowe.Aliyosema leo, kama nilisema amelamba asali basi namuomba msamaha. Ametanguliza maslahi ya taifa mbele
TISS wana akili na wanajua kuliko wewe, tuliza kitenesi hikoHakuna kiongozi mwenye kuipenda nchi yake akakubali ujinga huu ambao unafanywa na hii serikali. Na sijui umuhimu wa Jeshi na TISS ni upi kama wanashindwa kuzuia na kufichua ni akina nan wanahusika na uchafu huu. Kuna Muda natamani tujigawane kima jimbo tu maana huu upuuzi hauvumiliki kabisa
Tulipinge kwa nguvu zetu zote. Huu muungano unatunyonga sisi na tanganyika yetuInaifilisi Tanganyika mazima Yan 😂, bado Lile daraja la bara to zenji, deni tunalipa sie wa Tanganyika
Hi nchi kitu kinachoitwa maslahi ya taifa hakipo. Hata hao Tiss ni watumwa tu wa watawala, na sasa wanataka wapewe nguvu ya kuua raia bila kushitakiwa ili wawalinde wanasiasaTISS wana akili na wanajua kuliko wewe, tuliza kitenesi hiko
Kwani huu mkataba una ukomo wa muda gani?Muunge hata mguu [emoji1787][emoji1787]
Mama amelifuatilia hilo kwa upembuzi yakinifu....amejiridhisha kuwa UWEKEZAJI huo utakuwa na tija kwa taifa maradufu ya kinachopatikana bandarini....mafisadi ambao Mbowe anawasupport wanataka STATUS QUO iendelee....yaani MIFUMO ya TEHAMA iendelee kutokusomana kati ya TPA na TRA .....
#SiempreJMT[emoji120]
Haijalishi watu watasema nini lakini haiondoi ukweli kwamba JPM alikua kiongozi haswa! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Hao wameshindikana,labda nature ndiyo iamueAisee kila kukicha ni mikataba mibovu na kuongeza kodi za magari huku taarifa ya CAG ikija ya wizi tuu...nani aliewaleta hao jamaa
Daah hao jamaa ni kama wale drug cartels mkuu wapo Durban na ofisi yao ila wamekosa Tenda kama hiyo ya Daslm hapo Durban na Eastern Cape nadhani watapewa Kampuni nyingine kilichonishangaza ni kuwa hakuna mshindani ni kampuni moja tuu harafu eti wanachaguliwa wakina Msukuma kwenda Dubai kazi tunayo kwani kampuni bora lazima watu waende huko hawajaona kuwa ni ngumu hasa kwa hawa majasusi ya biashara kufanya lolote ili hawa wakina Msukuma waje waongee chochote ili mradi kampuni ya Wahuni ipite...Hao wameshindikana,labda nature ndiyo iamue
Ova
Sina chuki na mtu ila sjawahi kumuona rais Tanzania ameingia madarakani ila watasema yeye ni bora zaidi kuliko mtangulizi wakeHujiulizi ni kwa nini Rais anayeonekana ni mzalendo zaidi na ninyi hayati JPM naye alishindwa kuifanya mifumo hiyo isomane?!!!!
Mama anathubutu kuwa zaidi ya WALIOPITA......