Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Yaani unasema Mbowe kanunua magari matano lakini hutaji hata namba moja ya mojawapo ya magari hayo!?
Gazeti linaloandaliwa na wajinga na kusomwa na wajinga...halafu unakuta kiwandani limelipiwa matoleo kumi mfulululizo! Hizi fedha za walipa kodi zinatumika vibaya sana!
 
Tumechoka na hizo habari zenu za kipumbavu mnazotoa kwenye hivyo vigazeti vyenu vya kijinga kijinga. Hiyo TAKUKURU na Mahakama ya mafisadi inafanya kazi gani? Wacheni upumbavu wenu.
Hata wafuasi wa CCM wamechoshwa na habari zenu za kipumbavu mnazotoa kwenye vigazeti vyenu vya kijinga kijinga na propaganda Uchwara juu ya Serikali ya awamu ya tano. Pelekeni malalamiko Takukuru. Wacheni upumbavu wenu!
 
Hivi wewe unaelewa kuwa mfumo wa fedha ndani ya vyama ni ule uliokubalika na CAG? acha hekaya zako Abunuasi, sasa hivi zinazo trend ni za #Kalumekenge na #Essopo
Ninafahamu na ndiyo maana nilikueleza kuwa siyo dhambi kuwa na investment ya nyumba nje ya nchi na hapa nchini wengi wamefanya hivyo.
 
hongera Mbowe, mm nawashangaa sana wanaokusema nadhani hawajui kuwa CHADEMA ni chama cha Baba Mkwe wako na ni Saccos yako, baba endelea kuzitafuna ila angalia maana ndani ya chama chako wamechoka na huo ulafi wako, jiangalie baba zama hizi sio zileeeeee
Ukipewa maneno makali usiseme umetukanwa, maana hizi ni akili wale wa kufugwa wanaotumika hata na polisi
 
Kwa taarifa yako huyo mbowe alizaliwa pesa kaikuta na hadi leo pesa kwao siyo issue! acha kuabudu umasikini
Mimi ninamfahamu mbowe kabla hata hajaingia kwenye siasa. Pengine wewe umemfahamu mheshimiwa miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo kama umesoma vizuri mchango wangu sijawahi kusema kuwa mh hana hela ila nilichosema ni nukuu aliyekuwa kaimu mwenyekiti wake hayati chacha wange kipindi kile alichokuwa anawaeleza wafuasi, wapenzi na wananchi wengine kuhusu matatizo ya fedha ndani ya chama chao.
Tafadhali soma vizuri uzi wangu halafu pia hupungukiwi na kitu kama utatumia lugha ya kistaarabu kwenye michango yako.
 
Wapigaji ni wale walioshindwa kutueleza mpaka leo zilipo Trilion 1.5 zetu!
Ni bora hao walioshindwa kukueleza mpaka leo zilipo Trilioni 1.5 "zenu" wakati maendeleo unayaona (AtcL, SGR, Nyerere Gorge n.k) ...kuliko hao waliopiga milioni 800 za Ujenzi wa Ofisi ya Chama bila aibu huku Chama kikiendelea kulipa KODI ya pango Tsh 30 milioni kwa mwezi kwenye ile stoo pale Ufipa.
 
Wanachoshindwa kuelewa CCM kuwa sasa upinzani ni wa ki fikra zaidi kuliko kumshambulia mtu mmoja na watanzania wa sasa ni waelewa sana kila kitu kipo wazi
 
Unatumia makalio kufikiri wewe.Huyo Mbowe ana kinga ya kytoshitakiwa? Kila siku umbea umbea tu. Kuna TAKUKURU, Mahakama ya mafisadi kwa nini asikamatwe akafunguliwa mashtaka.
Upelelezi bado unaendelea. Acheni kuipangia dola namna ya kufanya kazi yake.
 
Nilipoona neno 'fahari' nikafikiri yale mafuta ya kupikia ya fahari ya enzi zetu.
 
Ni bora hao walioshindwa kukueleza mpaka leo zilipo Trilioni 1.5 "zenu" wakati maendeleo unayaona (AtcL, SGR, Nyerere Gorge n.k) ...kuliko hao waliopiga milioni 800 za Ujenzi wa Ofisi ya Chama bila aibu huku Chama kikiendelea kulipa KODI ya pango Tsh 30 milioni kwa mwezi kwenye ile stoo pale Ufipa.
Eti maendeleo unayaona! Unajua wewe no mbumbumbu 100% na unajiita Dr love inawezekana ni wale wa Kona Bar! Maana inawezekana hata huelewi wanaposema 1.5T hazionekani wanasema nini
 
Back
Top Bottom