Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Huwezi jua kwasababu unajua ila unajidai hujui!.
 
Wanaweza, ila sio kwenye mazingira ya uchaguzi huu, kipofu pekee ndii ataamini hilo unalowaza.

Anzia OCD Hai kumwambia Mbowe hatarudi, Ndugai bungeni, kura feki everywhere...no way!.
Uliona ule mkutano wa Lissu Hai? Umeona mikutano ya Mbowe mwenyewe? Kwanini watu walikuwa hata kuhudhuria hawakwenda?
 
Gap ni kubwa Sana wangefanya hata tofauti ya kura angalau 8000 au 13000.Yaani kura za Mbowe zikaribiane na wa ACT? Hapa sayansi ya wizi awakuitendea haki.
 
Hoja dhaifu sana hii, kwamba kwa vile kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kila siku anashinda basi hata huu alishaandikiwa mshindi atakuwa yeye tu?
 
Hoja dhaifu sana hii, kwamba kwa vile kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kila siku anashinda basi hata huu alishaandikiwa mshindi atakuwa yeye tu?
Unaruhusiwa kuwa kipofu wa akili, sikuzuii.
 
Hii gap kubwa Sana si kwa wizi huu
Taarifa za ndani inasema watu wa kitengo wamehusika sana na manipulation of database na kura za maruhani, wametumiwa sana polis, mawakala wa CCM na baadhi ya wasimamizi wa tume wa vituo kupenyeza mzigo. Baadhi ya maeneo wamehongwa mawakala ili wabalance kura
 
Una justify vipi ushindi wa hilo pengo la kura kwenye mazingira ya uchaguzi yaliyogubikwa na utata kila kona ya nchi?

Hata kama walikuwa close last time, hiyo sio sababu this time ashindwe kwa pengo la kura karibia sitini elfu, it's all fake!.
Amezomewa sana na wananchi mwaka huu. Walimchoka kwa kula bata Chako ni chako na kuwasahau.
 
Unao ushahidi? Maana kila kona tarajieni kushindwa.
 
Wafuasi wa Chadema wakiambiwa ni wagumu sana wa kuelewa mambo!

Mimi niliwaambia mapema kwamba mwaka huu watapigika kuliko walivyopigika 2015, lakini kama kawaida yao wakafungulia floodgate ya matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…