Mwambie mwenyekiti wa kudumu aache matamko tatanishi, mbona aliufyata iweje leo ndio aongee utafikiri katoka kwenye handaki?..Naomba mjizuie kuhamasisha violence dhidi ya wapinzani.
..Tutajenga utamaduni mbaya wa ukatili ktk siasa zetu.
..MUNGU ametupa nafasi ya kujirekebisha kwani tulifika pabaya. Tusipoteze nafasi hii adhimu.
CCM wameshindwa Kubadilisha Katiba Kongwe ya 1977, Hivohivo Wameshindwa Kubadilisha Mifumo ya Kiuchumi,Kimaendeleo,Kiutawala nk.Samia’s ‘tensile strength’ is being tested.
Wapinzani wa Tanzania ni zaidi ya corona ukiwachekea..Naomba mjizuie kuhamasisha violence dhidi ya wapinzani.
..Tutajenga utamaduni mbaya wa ukatili ktk siasa zetu.
..MUNGU ametupa nafasi ya kujirekebisha kwani tulifika pabaya. Tusipoteze nafasi hii adhimu.
Hakuna mtu anaweza kulazimishwa kuwa dikteta kama sio hulka yake. Mtu akiwa dikteta ni kwa sababu ana udikteta ndani yake. Msitafute visingizio.Kwa kauli hii ya Mbowe mama hana option zaidi ya kuwa dikteta.....
otherwise watampelekesha sana hawa....
mama inaonekana ni mpenda haki na utu
lkn naona wanamforce awe dikteta.....
wanasema hakuna mchawi mbaya kama mwanamke....
Mwambie mwenyekiti wa kudumu aache matamko tatanishi, mbona aliufyata iweje leo ndio aongee utafikiri katoka kwenye handaki?
Wapinzani wa Tanzania ni zaidi ya corona ukiwachekea
Mwambie mwenyekiti wa kudumu aache matamko tatanishi, mbona aliufyata iweje leo ndio aongee utafikiri katoka kwenye handaki?
Ok mkuu..Na mimi naheshimu sana maoni yako.
..Ningependa sana wanaomuunga mkono Rais Samia wawe na lugha nzuri tofauti na awamu iliyopita.
..Rais ametoa agizo ambalo linakiuka katiba. Pia agizo hilo linakipendelea chama chake na kuvionea vyama vya upinzani.
..Mbowe ameonyesha kutokukubaliana na msimamo wa Raisi. Sijaona mahali alipotumia lugha ya matusi au kumvunjia heshima Raisi.
..Mwisho, ningekuwa mshauri wa Raisi ningemshauri amtume msemaji wake aliweke suala hili vizuri, ili lifuate sheria na katiba.
..Suala kama hili lilitokea wakati wa Rais Magufuli. Lilituletea shida kubwa. Why is president Samia repeating the same mistake.? Kwanini washauri na wapambe wanamshangilia na kumhimiza Rais ktk jambo baya badala ya kumsaidia kurekebisha?
Mwenyekiti wa kudumu aache siasa za kiuanaharakati ukombozi wa Africa ulishaisha kwasasa tunapambana kufanya wananchi wawe na uchumi imara...amesahau kwamba Mbowe alikoswa-koswa na masasi na kupelekea Akwilina kuuwawa?
..sasa mnataka Rais Samia naye apatikane na kashfa mbaya za ukatili?
..siasa zinapendeza kama wanaohusika watashindana kwa HOJA?
Watanzania hawali mikutano ya kisiasa
Wafuasi wa chadema ni wapenda chuki,walipandikiza chuki kule Mtwara hadi vurugu za gesi zikatokea hadi watu wakauliwa...Raisi amekataza mikutano ya hadhara, isipokuwa kwa wabunge.
..agizo hilo ni kinyume na sheria na katiba.
..vilevile agizo hilo linaipendelea ccm na kuviumiza vyama vya upinzani.
..Chama kama chadema kina mbunge mmoja tu ktk bunge la muungano, na vyama vingine vya upinzani havina wabunge kabisa.
..Raisi angeruhusu tu mikutano ya vyama vya siasa. Mikutano hiyo haimzuii yeye au serikali yake kurekebisha uchumi, au kuvutia wawekezaji.
..Kuna shughuli za michezo zinaendelea nchi nzima. Kuna mihadhara ya kidini inafanyika maeneo mbalimbali. Mikutano ya kisiasa haina madhara yoyote ile kwa ustawi wa nchi na ni halali kisheria.
Mwenyekiti wa kudumu alikimbilia wapi vile?Kama unamaanisha Mbowe, tuambie lini aliufyata?
Amandla...
Mwenyekiti wa kudumu alikimbilia wapi vile?
..ungeeleweka kama chadema ndio wangekuwa wamechukua silaha na kuuwa wananchi mtwara, arusha, na kwingineko.Wafuasi wa chadema ni wapenda chuki,walipandikiza chuki kule Mtwara hadi vurugu za gesi zikatokea hadi watu wakauliwa.
Wakawahadaa wana arusha hadi wakapigwa na kuuwawa...
Kamuulize alijihamishia nchi gani huko AsiaWewe ndio utuambie alikimbilia wapi.
Amandla...
Kwenye nia njema ya uwakilishi sawia, huwezi kutumia bunge la jamhuri kuwa bunge la katiba kwa sababu halina uwiano wowote. Linakuwa ni bunge la siasa lenye kundi moja kubwa lililo na mrengo, itikadi na kauli moja na hivyo ni rahisi sana ku compromise hata masuala ya msingi kitaifa, ili kulinda maslahi ya kundi hilo lililokubwa kwenye bunge.Moja ya sababu kubwa ya kushindwa kukamilika kwa mchakato wa katiba mpya ni wingi wa wabunge walio kuwemo. Muda mwingi ilitumika kulumbana, kweli mapanya wengi hawachimbi shimo likaenda.