Pre GE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe Chadema ni chama cha Mbowe!?
 
Wazo zuri sana.
 
Je, wakisema wataanda maandamano ya pamoja kuonesha mshikamano na kutaka Katiba Mpya utaingia nao barabarani? Ahahahahaha!!!
 
I think, Mbowe anayo nia ya dhati kabisa kuachia kiti ila kuna mazingira yanamlazimu tu abakie kwenye kiti either kulinda na kuficha maovu aliyoyafanya ndani ya chama au njaa kali ya asali anayolambishwa na ma giants wa siasa nchini.
 
Tofauti na nyie sisi tunasema washindane, wapimwe na wapiga kura, wapiga kura waamue na wao waheshimu matokeo, hata kama watashindwa.
Je unawajua hao unaowaita wapiga kura? Oh judgement, thou art fled to brutish beasts and men have lost their reasons.

Kwa vyovyote watakavyopiga kura, uwepo wa Mbowe kwenye kinyang'anyiro hicho unafanya zoezi hilo kuwa na doa.

Sisi wenye mapenzi ya kweli kwa hiki chama tumemshauri tu Mh. Mbowe kutumia busara na hekima kumuunga mkono Mh. Lissu.

Sasa hivi Mbowe ndio Mwenyekiti wa Chadema na Mwenyekiti ndio sura na kiongozi Mkuu wa Chadema.
Sasa hivi? Kwani kwa miaka hiyo ishirini Mwenyekiti hakuwa sura na kiongozi Mkuu wa Chadema? Kusema kweli Fundi Mchundo, nimeshindwa kabisa kuelewa unachotetea.
 
Kwanini Lissu asikae pembeni amuache Mbowe?
Kwanini wasishindane kwenye sanduku la kura?
hii tabia ya kuachiana ipo kwetu CUF il siyo CHADEMA.
 
Je kina boni yai na yeriko watakubali? Mbowe ameamua kuua chama chake kwa mkono wake mwenyewe.Yaani angebaki mjumbe wa kudumu wa kamati kuu, Kwa sasa umma upo upande wa lissu
 
Naona Mbowe amechagua kuondoka kwa fedheha. Mwache ashupaze shingo na kuwasikiliza chawa kina Boniyai
 
Mtahangaika sana, bado hadi muaibike katika BOX la kura na tumeshasema anayeshindwa hamna visingizio na lazima abakie kukijenga chama pamoja.
Hao wanaharakati wa mitandaoni wao ni kuvamia vyama, hawajui CDM imepitia yapi hadi hapa ilipo.

Mbowe - mwendo mdundo - mtoto kau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…