Hamna mwanaccm yoyote ukiwepo ww anaweza kunifanya nipanic. Kwa hoja zipi labda za kunifanya nipanic, hizo za kutetea kitu kiovu😂😂.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usipanic ndugu!
Endelea kudemka kumshangilia mama baada ya dhalimu wako kufariki
Lisu pamoja na Risasi 32 bado yuko hai. Mungu huyu DuuhMbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Duh, mimi niwe na hasira ya nini? Kwa ufahamisho hapa nilipo furaha yangu haina kipimo baada ya dhalimu kupewa hukumu aliyostahili! Bila shaka wewe ndiye huzuni na hasira yako haina kipimo kwa kuachwa yatima...Mtazame mwenzio huyu hapa chini...Sasa kwa mahasira kama haya kwa nini usipeleke kutafuta hela ili ukoo wako unaoliwa na umasikini upate nafuu?
Ndio maana nikakwambia usiwe sukule!Duh, mimi niwe na hasira ya nini? Kwa ufahamisho hapa nilipo furaha yangu haina kipimo baada ya dhalimu kupewa hukumu aliyostahili! Bila shaka wewe ndiye huzuni na hasira yako haina kipimo kwa kuachwa yatima...Mtazame mwenzio huyu hapa chini...
Sasa hapo unafanyaje ili upate katiba mpya?Nyerere alisema hii katiba inampa madaraka makubwa, na kwamba siku akipatikana mtu wa hovyo kwa maana ya dikteta, ataitumua vibaya.
Tafakari maneno hayo.
Acha Ujinga kwenye Mambo ya msingiMbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Hiyo haiwezi kuwa maiti ya mtu bila shaka hiyo maiti itakuwa ya shetani!Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Alikaa kimya kwakua hakukua na sehemu ya kweli ya kwenda kulalalamika Sabaya ana karakana.Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Tufafanulie tuelewe anavyowachapa chadema, kiongozi wa malaika mbinguni.Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Shehe ubwabwa wa Dar besti wa Kimambi alikuwepo ?Hongera kwa viongozi wa dini waliokataa bahasha Ili kuisaliti imani yao Shehe Ponda, Askofu Mwamakula,Bagonza, Niwemugizi,Shoo.
Hiyo Kamati ni ya watu wapuuzi.Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Waganga njaa wale na ni waovu kuliko hata uovu wenyeweKwani kulikuwa na vurugu gani mpaka wakajiunda hiyo kamati? Halafu mbona wanaseek legality wakati hawana legality yoyote mbwa Hawa?
Mbele ya ubwabwa alikufuru nchi za kiislamu angekatwa kichwaShehe ubwabwa wa Dar besti wa Kimambi alikuwepo ?
Huyu boss wa mkoa sidhani Kama anaweza kuacha bahasha ya kaki .
Huyu alisemaga live mwendazake Ni zaidi ya mtume Tena Ni zaidi ya Muumba.
Nawaunga mkono maaskofu yule dikiteta asiitwe mwendazake Bali aitwe MWENDAKUZIMU.
Kwa kweli unafiki ni mzigo wa dhambi.Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk....
Amekufa yeye.Aliyesema ataua upinzani yupo wapi