Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usipanic ndugu!

Endelea kudemka kumshangilia mama baada ya dhalimu wako kufariki
Hamna mwanaccm yoyote ukiwepo ww anaweza kunifanya nipanic. Kwa hoja zipi labda za kunifanya nipanic, hizo za kutetea kitu kiovu😂😂.
 
Sasa kwa mahasira kama haya kwa nini usipeleke kutafuta hela ili ukoo wako unaoliwa na umasikini upate nafuu?
Duh, mimi niwe na hasira ya nini? Kwa ufahamisho hapa nilipo furaha yangu haina kipimo baada ya dhalimu kupewa hukumu aliyostahili! Bila shaka wewe ndiye huzuni na hasira yako haina kipimo kwa kuachwa yatima...Mtazame mwenzio huyu hapa chini...

sabaya.png
 
Kikundi cha wahuni sijawahi kuona faida yacho, kujipendekeza tu.
 
Duh, mimi niwe na hasira ya nini? Kwa ufahamisho hapa nilipo furaha yangu haina kipimo baada ya dhalimu kupewa hukumu aliyostahili! Bila shaka wewe ndiye huzuni na hasira yako haina kipimo kwa kuachwa yatima...Mtazame mwenzio huyu hapa chini...

Ndio maana nikakwambia usiwe sukule!

Baada ya hao kutokuwa madarakani umejipatia katiba mpya? Lisu kawa rais? Ccm imetoka madarakani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha mna laana
 
Nyerere alisema hii katiba inampa madaraka makubwa, na kwamba siku akipatikana mtu wa hovyo kwa maana ya dikteta, ataitumua vibaya.

Tafakari maneno hayo.
Sasa hapo unafanyaje ili upate katiba mpya?
 
Mbowe yuko sahihi hata mbele ya MUNGU naomba nione tamko la hiyo kamati lisu alipopigwa risasi yani wanapingana na kukua na kuenea kwa kiswahili lugha ambayo mwendakuzimu aliihusudu wanaacha kukemea damu ya lisu ilipomwagika? mlioko insta naomba mnipestie huu ujumbe kwenye page za hao wanakamavi
 
Hongera kwa viongozi wa dini waliokataa bahasha Ili kuisaliti imani yao Shehe Ponda, Askofu Mwamakula,Bagonza, Niwemugizi,Shoo.
Shehe ubwabwa wa Dar besti wa Kimambi alikuwepo ?
Huyu boss wa mkoa sidhani Kama anaweza kuacha bahasha ya kaki .
Huyu alisemaga live mwendazake Ni zaidi ya mtume Tena Ni zaidi ya Muumba.
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Hiyo Kamati ni ya watu wapuuzi.

Haina sifa hata moja ya kuwa Kamati ya Amani. Ni wachumia tumbo hao.

Hizi dini zimepoteza maana yake kwa kuingiliwa na watu matapele kama hawa.
 
Shehe ubwabwa wa Dar besti wa Kimambi alikuwepo ?
Huyu boss wa mkoa sidhani Kama anaweza kuacha bahasha ya kaki .
Huyu alisemaga live mwendazake Ni zaidi ya mtume Tena Ni zaidi ya Muumba.
Mbele ya ubwabwa alikufuru nchi za kiislamu angekatwa kichwa
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk....
Kwa kweli unafiki ni mzigo wa dhambi.

Kamati hiyo haina uhalali juu ya wananchi.

Wajitafakari sana maana Mwendazake anavuna alichopanda.
 
Back
Top Bottom