Aliyesema ataua upinzani yupo wapi
Exactly.Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Ka,wewe ulimuhusisha nani wakati unatoa hayo maoni kati ya shetani MunguWalijikusanya wakajiita kamati ya amani, Kamati ya Amani ambayo Haina hata mlevi mmoja?? Kamati ya Amani Haina hata Kahaba mmoja? Amani hii ni IPI??
Alikuwa katili sana.Mwendazake kwa hakika amekwisha enda zake, kwa kuwa hayupo tena nasi katika hali ya kimwili ambapo aliweza kuiongoza nchi hii. Ametuacha, ametutoka, ametangulia mbele za haki ama ameenda zake, hilo ni tukio la uhakika ambalo kwalo litamtokea kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hapa duniani...
Hakuna mtu ambaye ataihujumu Chadema na akabaki salamaMagufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Hawa wapuuzi walitakiwa wamshukuru MUNGU wa mbinguni kwa kutuondolea hili balaa na siyo ule ujinga ujinga wao.Na yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
wote wanapotea, mwendazake na SabayaHakuna mtu ambaye ataihujumu Chadema na akabaki salama
Hawa ndio viongozi Bora wa diniHongera kwa viongozi wa dini waliokataa bahasha Ili kuisaliti imani yao Shehe Ponda, Askofu Mwamakula,Bagonza, Niwemugizi,Shoo.
hilo sio tatizo,tatizo ni kwamba chama ndio kwisha habari.Na yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
acheni kuumiza vichwa na huyu jamaa ni mhuni kupita maelezo anajuwa kucheza na akili za watu ili tu ajinufaishe yeye na watu wanamshangiliaMbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Kwa hiyo mtu akiihujumu chadema anakufa?Hakuna mtu ambaye ataihujumu Chadema na akabaki salama
Sasa we huoni jinsi anavyowachalaza?Acha matusi Dogo yaani mzoga uliooza na kunuka kama panya unaweza kucharaza mtu?
Wanasema tusitumie neno MWENDAZAKE? Wako sahihi kabisa yule si mwendazake bali ni marehemu mfu...!!!!Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Kafa kibudu halafu akafichwa kwenye jokofu kwa siku kadhaa,halafu akaanikwa juani wiki nzimaAliyesema ataua upinzani yupo wapi
Kibudu! Period....!!!Nawaunga mkono maaskofu yule dikiteta asiitwe mwendazake Bali aitwe MWENDAKUZIMU.
Hiyo sio akili ni matopeNa yeye amechalazwa vizuri sana kwa maombi ya wanachadema. Imagine watu hawaongelei Mkapa, Wala Nyerere wanamuongelea yeye tu Tena kwa sifa mbaya ya unyanyasaji na roho mbaya. Sijui unatoa wapi hii akili.
Na yeye anacharazwa na malaika aliowadhihaki kuwa anataka awe kiongozi wao. Yaani pimbi Magufuli amwongoze malaika Gabriel/Jibril? Jamaa yenu alikuwa taahira.Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!