The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ni Kamati ya kinafiki 100 % ...................!!Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Umejuaje?Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Mbowe na chadema yake ni hatari kwa mstakabali wa taifa. Anachojaribu kufanya yeye na chadema yake ni kutoa picha ya uongo kwamba tanzania kuna utawala wa kinyama. Uongo huo umeshindikana kuaminika na jumuia ya kimataifa. Ushauri huo chadema wanapewa na makundi ya kijasusi toka nchi za kibeberu kwa kuwalipa wakijifanya consultants. Kwa mfano yule shoga armstetdam muongo mkubwa aliyekua mwanasheria wa lissu na chadema sijui ameishia wapi.Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Si muda mrefu samia atagundua kuwaacha hao nyumbu kumwaga sumu kwenye jamii ni hatari na kwamba magufuli alikua hajakosea kuwadhibiti hadi karibu na chaguzi. Tumemwambia samia ascheze na nyani ama sivyo atakula mabua.Napinga sana huu uana harakati anaofanya Mbowe.
Ukweli iwapo kila tendo tutataka kulijadili kiundani kama anavyotaka,hali inaweza kubadilika sana kwa kuamsha hisia kali za wanaoonekana kama wameonewa.Na bahati mbaya kisasi huwa kinafanywa kwa watu wasio husika kabisa.
Ninadhani Mbowe anataka kwenda mbali sana.Sijui anataka nini.Mashehe wameachiwa,kwa nini hilo pekee lisitoshe kumshukuru Mungu?
Kusema kweli natamani adhibitiwe,kwani hizi siasa zina lengo la uchochezi.
Umaskini wangu hauna shida as long as niko huru. Aliyekufa alijifanya nusu- mungu na cha mtema kuni kakiona. Saa hizi minyoo imekwisha tafuna imebakia skeleton DaaaaadddadekiUkoo wako hawawezi kuwawatz wote!
Badala ya uombe akuondolee umasikini kwenye ukoo wako wewe uko busy kusema mtu kafa kwa ajili ya maombi yako?
Endelea kuliwa na umasikini huku ukifikiri marehemu anakomolewa!Umaskini wangu hauna shida as long as niko huru. Aliyekufa alijifanya nusu- mungu na cha mtema kuni kakiona. Saa hizi minyoo imekwisha tafuna imebakia skeleton Daaaaadddadeki
Ni FISADI tu wala usibishe. Ripoti ya CAG kwa mwaka 2016-18 ilikuta matumizi yasiyoeleweka ya Tsh 2.4 Trillion.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapovu inaonesha anakutesa sana!
Eti fisadi! Mbona mafisadi mengine mko nayo hapo chadema na huyakemei?
Usiwe sukule
Umaskini siyo permanent attribute you never know Mungu atanipa lini. Lakini huyo Ibilisi na fedha alizoiba amepotezwa wala hatazifaidi.Endelea kuliwa na umasikini huku ukifikiri marehemu anakomolewa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wajinga dunia hii
Dogo Mungu siyo amstwrdam. Mungu angekuwa na akili kama zako hata babako Mbowe asingekuwa hai.Ni FISADI tu wala usibishe. Ripoti ya CAG kwa mwaka 2016-18 ilikuta matumizi yasiyoeleweka ya Tsh 2.4 Trillion.
Mungu wetu ana maguvu, kamfutilia mbali
Mungu fundi. Huyo bwanaako saa hizi kaoza tayari [emoji38][emoji38][emoji38]Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Sasa kama akili zako ni kufikiri kwamba matajiri ndio wamekufanya uwe masikini utajikwamua kweli?Umaskini siyo permanent attribute you never know Mungu atanipa lini. Lakini huyo Ibilisi na fedha alizoiba amepotezwa wala hatazifaidi.
Lakini bado ana wachapa mbokoMungu fundi. Huyo bwanaako saa hizi kaoza tayari [emoji38][emoji38][emoji38]
Akishawalipa ndo roho za akina Azory gwanda na akina Saanane ziterejeshwa? Kama sabaya alimiliki kambi ya mateso na serikali haikujua Mbowe alikuwa na nini cha ziada cha kulisemea hilo hata kama angeona kwa macho?Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.
Hivi wewe boya umekuzwa na Baba yako kweli? it seems like wewe ni toto la msimbe,wewe jinga hasa....Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Utakuwa una mimba yake wewe sio bure mtu kafa tuanze kumuweka kwenye ajenda, how???hilo sio tatizo,tatizo ni kwamba chama ndio kwisha habari.
hutaki 2025 hiyo hapo,ajenda ni jpm[emoji1][emoji1].
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Watu wengine hawana kabisa shughuli ya kufanya kwani kila post inapotoka wao ndio wa kwanza kutupia mabango, ama kweli kuna watu wanalipwa buku saba kwa kutupia mabango humu make wao ni kuamka na kulala humu, ina maana wataishije bila huo mradi wa buku saba wakati wako humu 24hrs/day.Mbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Unafikiri ni kwanini hao wa upande huo wanapenda kumwita Mwendazake? na hao wa upande wa Askofu feki hawataki aitwe hivyo?Mwendazake kwa hakika amekwisha enda zake, kwa kuwa hayupo tena nasi katika hali ya kimwili ambapo aliweza kuiongoza nchi hii. Ametuacha, ametutoka, ametangulia mbele za haki ama ameenda zake, hilo ni tukio la uhakika ambalo kwalo litamtokea kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hapa duniani.
Kuonja mauti ni jambo la hakika kwa mwanadamu awaye yeyote yule, wala sioni shida ama sababu yenye mantiki kwa viongozi wa kidini kuona ukakasi juu ya yule aliyekufa kuitwa mwendazake, kwani kwa sasa hayupo tena nasi katika ulimwengu huu wa kimwili. Neno hili limebamba mno kwa kuwa mwendazake alikufa akiwa kiongozi wa nchi yetu, na katika uongozi wake watu wengi waliathirika kwa aina ya utawala wake, kwa maana ya muelekeo athari hasi ama chanya, ingawaje wale wa upande wa athari hasi ndiyo hupenda hasa kutumia nomino hii ya utambulisho wake kwa sasa.
Mimi ni mwana CCM halafu umri wangu mkubwa kuliko Mbowe kwa mwaka mmoja. Nakushauri jikite katika hoja na siyo kwenye personalities. Tuko na IDs fake na unaweza kuta unabishana na Baba yako mzaziDogo Mungu siyo amstwrdam. Mungu angekuwa na akili kama zako hata babako Mbowe asingekuwa hai.
Endelea kula mboko za marehemu
Mimi ni mwana CCM halafu umri wangu mkubwa kuliko Mbowe kwa mwaka mmoja. Nakushauri jikite katika hoja na siyo kwenye personalities. Tuko na IDs fake na unaweza kuta unabishana na Baba yako mzaziDogo Mungu siyo amstwrdam. Mungu angekuwa na akili kama zako hata babako Mbowe asingekuwa hai.
Endelea kula mboko za marehemu