Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unakula kiapo cha kuifuata na kuilinda katiba lakini unawazuia wananchi kutumia haki yao ya kikatiba.....sasa unakuwa umeapa kuilinda katiba ipi.....au kuna katiba mbili ya watawala na ya watawaliwa..
.??
 
Hiyo sentence ya mwanzo haikuwa na mantiki. Au ndio siasa zenu hizi?
 
Fujo unazileta wewe
nakusihi mapema sana,
kipigo cha waandamanaji haramu january 24 ni jirani sana kushabihiana na cha panya rodi,
jiahadhari familia isihadhirike 😎
 
Mbowe anatudanganya au muriro ndio anatudanganya?, Kama mbowe anatudanganya wanachadema ni wazi amepoteza mwelekeo na hafai.
we hesabu tu hakuna andamano lolote january 24
 
Mwenyekiti yupo kazini kwa kutufanya mazuzu watanzania.

Hili la mandamano lipo organised na chama tawala hata zile harakati za kwenda ubalozi mbali mbali ni kiini macho na hili la MULIRO ni kiini macho, lengo kumpaisha KIZIMKAZI kama ameruhusu kuandamana.

Kuna sehemu yoyote Tundu kaunga mkono?

Na kwanini waamue kuruhusu wakati CHALAMILA aligoma mwanzoni?

Lini na wapi chama tawala ili ruhusu mandamano kirahisi hivi?

Mwenyekiti bado yupo kwenye payroll
 
Mmmmmgh
 
Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Mmh! Chawa wa mama mbona una hofu sana?
 
Hongera jeshi la polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…