mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hivi kwanini hoja za huyu Lissu zisijibiwe?
Zijibiwe na marehemu akiwa kwenye jeneza?
Haya, watanzania wamemjibu na wataendelea kumjibu
Na dunia inaongea sasa.... kibaraka hana nafasi Tanzania
Tundu hana utu wala maadili, ukimsikiliza unaweza kujiuliza kama alizaliwa na kulelewa ndani ya nchi hii ukiachilia mambo ya jando na unyago na mafunzo kitanzania
Atuache kwanza tuomboleze mfyuuu