Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Kama wako siriazi na kesho kuhusu kuandamana usiku wa leo wasilale nyumbani mwao
 
Halafu humu Ant Chadema wana makasiriko na maoni yenye chuki kwanini? Au ndio afya ya akili ndio tatizo ? Mnakosoa utadhani nyinyi ndio Wapinzani???
 
Tatizo wacheza ngoma wa chadema mtamuangusha DJ.DJ kaweka muziki bure kesho mkacheze mshindwe sasa.
 
Hakuna namna nyingine ya kujitoa mbele kutetea nchi zaidi ya hapo.

Yeyote atakaye athirika kutokana na kushiriki kwenye maandamano hayo ni muhimu Chama kwanza na nchi kwa ujumla kuheshimu na kumtambua katika juhudi hizi.

Chama ni lazima kiwe na taratibu za kufanya kazi hiyo ya utambuzi wa watu hawa, popote pale yatakapo wakuta.
 
Haya maandamano yamepamba moto kweli kweli mpaka naogopa, waandamanaji wamechachamaa sana naona safari hii wataiondoa serikali madarakani. Maana Kuna watu nimeongea nao wapi Keko hapo kilometa kama mbili kutoka kitovu cha kuanzia maandamano, wananiambia hata hawajui maandamano yanahusu Nini hivyo Kila mtu anaendelea na ishu zake. Sasa vibe la maandamano ndio kama hivyo, serikali lazima itikisike
 
Kupigwa risasi fika anafahamu hakupo, ispokuwa kwa wakati huu ni lazima aonyeshe ujasiri ili kutetea UENYEKITI WAKE, KWAMBA NI MWENYEKITI IMARA NA THABITI.
Vyovyote na iwavyo, chukua tafsiri unayo itaka wewe. Tamko hilo ni la kishujaa.
 
"If you're afraid to die, you're afraid to live. You can't have one without the other" author unknown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…