Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

Ulifikiri kuwa Rais ni kwenda kucheza na kuimba taarab? Kwani lazima awe Rais? Anaweza kuacha kama hamtaki akosolewwe. Who the hell cares if you are a woman or a Muslim?
The problem is,you guys think that mna hati miliki ya kuzungumzia hiyo katiba kuliko makundi mengine yyte yale,you are very wrong..!

And does she seems like dancing taarabu??mnyonge mnyonge,mnaeza fananisha na yule jamaa yenu mchunga ng'ombe?

Give her a time.., hamtakii ingien barabaran af muone...!!
You must be so so crazy btch btch blocks
 
Ulifikiri kuwa Rais ni kwenda kucheza na kuimba taarab? Kwani lazima awe Rais? Anaweza kuacha kama hamtaki akosolewwe. Who the hell cares if you are a woman or a Muslim?

Amekataa kukosolewa??

Ameipinga hoja ya katiba??

Unadhan katiba ni jambo rahis kama kumkatia mumeo viuno na kumkojoza??

It needs money,hiyo budget hao wachaga wanayo??au wanazungumza tuh,

Wanataka kumlazimisha Prezoo wao kama nani??

They are just goddamed Hand to mouth politicians,waje pole pole na busara,katiba ni yetu sote wasijafanye wao ndiyo wahanga Sana,
 
hapo ndio CHADEMA wanakosea. Kwani katiba inasema ruhusa ya mikutano ya kisiasa lazima itoke kwa Rais?
 
Ulifikiri kuwa Rais ni kwenda kucheza na kuimba taarab? Kwani lazima awe Rais? Anaweza kuacha kama hamtaki akosolewwe. Who the hell cares if you are a woman or a Muslim?

Amekataa kukosolewa??

Ameipinga hoja ya katiba??

Unadhan katiba ni jambo rahis kama kumkatia mumeo viuno na kumkojoza??

It needs money,hiyo budget hao wachaga wanayo??au wanazungumza tuh,

Wanataka kumlazimisha Prezoo wao kama nani??

They are just goddamed Hand to mouth politicians,waje pole pole na busara,katiba ni yetu sote wasijafanye wao ndiyo wahanga Sana,
 
Naanza kuamini hawa jamaa wanatumika,yaani wao hawataki kuona kuna utulivu! Wana visirani sana,lakini wasimchukulie mama poa,tena katika hili la katiba kawa mkweli,lakini kwa vile wamezoa kashkash wanaanza tena.
 
Ninyi WENDAWAZIMU hebu tulieni basi, yaani mihemuko yote hii ni kwaajili ya kutetea "ugali" wenu tu? KATIBA MPYA HAIEPUKIKI KWA SASA, hiyo takataka "KATIBA YA VIONGOZI WA CCM" acheni itumike huko huko Lumumba tu.
 

Madrasa,haijawahi kutuharibu,

Infact hao wote smart leaders mwingi,kikwete and beautiful samia ni zao la madrasa,love it or hate it..

Madrasa is our pride place,don't remind about Magufuli wewe,inanihusu nin Mimi,hiyo labda nikuulize we are you missing him already??

If not why don't you give this mama a time to deliver her abligations...

Mnataka kumpangia,, mbona mwendazake hamkumpangia?

Is it because he was your fellow Christan or because of your fear??
 
Ninyi WENDAWAZIMU hebu tulieni basi, yaani mihemuko yote hii ni kwaajili ya kutetea "ugali" wenu tu? KATIBA MPYA HAIEPUKIKI KWA SASA, hiyo takataka "KATIBA YA VIONGOZI WA CCM" acheni itumike huko huko Lumumba tu.

Yes,we need katiba mpya,sasa why wanataka kumpeleka peleka kwa lazima??

Yeye samia ameikataa hiyo hoja??

Tunawauliza hao wachaga kwani katiba ni kama kuitengeneza mbege??

Wasitafute umaarufu wa kisiasa na sympathy kwa wananchi kwa kuegemea kwenye mgongo wa katiba,ya kwao tuh kwanza kama chadema Ina washinda,

Wanaforce iwe saiz,waulize hiyo pesa wao wanayo??

Waache ufa.la
 
We babu nchi unayoweza ukaishi ukawa na amani ya nafsi ni nchi yenye pure Muslims, hizi nchi zenye dini mseto utapata tabu sana, samia sio Mungu na wala hatuhitaji hisani ya samia kupata katiba mpya tutaendelea kuipigania katiba bila kuchoka Sawa.
 
Tatizo ni nyie wapambe, aka advocates. Mlifichama wapi sijui, mlikuwa critical hivi hivi wakati wa JK, kuingiza udini na na mambo yenu kwenye siasa. Nani kakwambia watu wanajali kama yeye ni mama au baba au Mkritu au muislam? Sisi tunataka presidential material siyo brabra. Paka mweusi au mweupe paka mzuri ni yule anayadaka panya, muislam au mkristo, mwanamke au mwanamme Raisi lazima awe imara. Kama huwezi acha kazi.
 
Hawana hiyo jeuri ya kumkwamisha.Ni hivi anawapiga ban kwenye siasa za maandamano na mikutano isiyo na tija lakini sera za Uchumi ziwe rafiki.

Magu yeye alikuwa anapora wafanyabiashara ,kuteka na kunyima haki ya kuishi.Mbona huko China,Rwanda,Egypt nk hakuna siasa uchwara na uchumi unastawi?

Ndio njia anatakiwa kuichukua hiyo ,wakileta fyongo jela bado zina nafasi maana watakuwa wanakiuka utaratibu
 
Naanza kuamini hawa jamaa wanatumika,yaani wao hawataki kuona kuna utulivu! Wana visirani sana,lakini wasimchukulie mama poa,tena katika hili la katiba kawa mkweli,lakini kwa vile wamezoa kashkash wanaanza tena.

Wapuuz Sana,ain't nobody opposed the issue of katiba,

wameambiwa it's okay,ngoja tujipange,hawataki wanasema ooh tunataka sasa hivi,aaah sasa hiv vip??

hali ya uchumi ni mbaya,Covid 19 na mambo mbali mbali dunian yameteteresha uchumi kila mtu anajua,anaomba muda aweze kujipanga hawataki wanataka kuingia barabaran,

hao Wana akili timamu Kweli??

wanataka hii katiba kwa maslahi ya Taifa au kwa maslahi ya hao kama chadema kushika Dola??

na watawezaje kushika Dola hata kumiliki japo jengo MOJA tuh na kufanya makao makuu ya chama hawana??
hawako serious
 
Kwani nani kamshangilia JPM? Ukatili wa JPM umemfikisha alipofika, alikataa sayansi, ikamfix.
Huyu naye kaja kwa tamaa zile zile za ki-CCM, to consolidate her power, for future terms in office, huku anapuliza. Anayekataa katiba mtu anakuwa aonother despot, she gonna fall in the same trap! Power trap
 
Reactions: BAK

Wapambe??mpambe ni Kama chawa...

Kwan wewe hutujui vizur sisi?? wenzako mbona wanatujua Sana,sisi tunaitwa magaidi,wafia dini,waislam wenye siasa Kali,wavaa barakashia na makubaz au wakata suruali,hayo ni sample tu ya majina yetu,sisi siyo wapambe...

Ofcourse yes,akinyanyaswa yeyote yule sababu tuh kwa kuwa yeye ni muislam hapo sisi lazima utatuona tuko front kabisa kuicheza hiyo ngoma...

thats why tunawauliza chadema,wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke??
 
Mama amepewa siku mia moja ili kuonyesha mwelekeo, kamaliza siku mia moja na kusema hataki siasa na hataki katiba mpya.
Wewe unataka CHADEMA wampongeze kwa hilo?
Wewe unataka CHADEMA wakae kimya?

Suala la kufanya siasa ni suala la kikatiba (halihitaji hisani ya Rais) na suala la katiba mpya ni hitaji la wananchi (ndio maana liliendeshwa rasmi bila kufikia tamati 2011-2015). CHADEMA wameamua kusimamia katiba na kusimama na wananchi. Hapa ni siasa na katiba tu. Uchumi utajengwa na wananchi wenyewe katika mazingira ya siasa safi na uwepo wa katiba sahihi.

Mama yeye aendelee na blah blah zake za kujenga uchumi, tuwaache Chadema waendelee na siasa zao za kudai katiba mpya, wananchi tutaamua wenyewe.
 

Acheni ujinga, tunawauliza chadema kwani katiba ni kupika mbege??

Hilo ni suala lahitaji pesa,wao wanalazimisha iwe saiz,yeye samia anapata wapi pesa hiyo??

Madeni ambayo serikali imeingia juu yetu sisi Walipa kodi hayaelezeki,Tena tuingie kwenye maden mengine kisa tuh chadema wanapressurize katiba??
 

Hakuna aliposema hatak siasa,nyinyi wachaga acheni kujitia vichwa ngum,

Huko wanakozunguka kina mbowe nchi nzima wamezuiwa kufanya mikutano??

Mbona wanafanya siasa zao vizur tuh.?

Sometimes mnazingua Sana, mwendazake alikuwa na style yake ya kuwanyoosha kila siku mlikuwa mnalia,leo mnaona Kuna ahuen mnasikilizwa na kupewa uhuru mnataka kuleta ubabe,kwann hamtaki kutii mamlaka??

Huyu mama ni president,msisahau hilo na hakuna mwenye Nia ya kurud kwenye style ya mwendazake,Ila nyinyi chadema msijitie kama waganga wa katiba ni nyinyi pekeyenu,
 
hapo ndio CHADEMA wanakosea. Kwani katiba inasema ruhusa ya mikutano ya kisiasa lazima itoke kwa Rais?

..Uko sahihi.

..Lakini hapa DOLA inaweza kutumika kulazimisha katazo la Raisi.

..Na MAHAKAMA nayo inaweza kuamua kumtumikia Raisi badala ya kutafsiri katiba na sheria kwa haki.
 

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa isipokuwa hapo unapomkosoa Mh. Mbowe kwa "kulalamika au kulazimisha, Rais akutane na Chadema". Mh. Mbowe halalamiki bali anatumia haki yake ya msingi ya kudai Katiba Mpya kama raia na kiongozi wa chama cha siasa kinachotambulika kitaifa. Kusema kuwa anamlazimisha Rais Samia pia naona si sahihi maana Rais hawezi kulazimishwa na mtu yeyote. Aidha, vile vile Rais hana haki ya kumlazimisha raia yeyote kukubaliana na mtizamo wake. Hiyo ndiyo demokrasia. Yeye kama anaona hoja za wakina Mbowe hazina mashiko, awapuuze na aendelee kujenga uchumi wa nchi. Ila ajue kuwa wakina Mbowe wataendelea kudai Katiba Mpya kwa sababu ni haki yao na wanaamini walidanganywa na Hayati kuhusu suala hili na lile na mikutano ya hadhara. Rais wa sasa alikuwa sehemu ya serikali ya Hayati na hajawahi kusema tofauti na msimamo wa Hayati. Kwa faida ya taifa letu ni muhimu waendelee kudai ili Rais na Chama chake akae akijua kuwa hitaji hilo lipo. Wakinyamaza tu ndio itakuwa imetoka maana kila mmoja wetu anajua Katiba iliyokuwepo inakipa Chama Tawala na Rais anayetokana na Chama hicho upendeleo na uwezo mkubwa wa kufanya wanavyotaka ili kuhakikisha wanashinda uchaguzi. Kauli ya Mheshimiwa Rais ya kuruhusu wabunge wa chama chake na wachache kutoka vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara inatia wasiwasi kama kweli ana nia ya kuhakikisha haki inatendeka kwa vyama pinzani vya siasa. Historia inaonyesha wakina Mbowe wako sahihi ku doubt sincerity yake.

Amandla...
 

..haiwezekani kumlazimisha Rais Samia kuachana na ajenda zake na kushughulikia hii ya katiba mpya.

..lakini tukubali kuwa Raisi amekosea kukataza mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani.

..Jambo hili lilituletea matatizo makubwa wakati wa utawala wa awamu ya 5.

..Sasa kwanini Rais anataka kuturudisha ktk matatizo na mifarakano ya awamu ya 5?

..Pia Raisi hana sababu ya kuwazuia wengine kuendeleza harakati za katiba mpya.

..Wanaotaka Katiba mpya waachwe wahamasishe na watoe elimu kwa raia.

..Raisi akisharekebisha uchumi, akisharejesha wawekezaji, na ikimpendeza anaweza kuunga mkono juhudi hizo.

..Raisi analo bunge lenye wabunge 90%++ CCM. Vilevile ana vyombo vya DOLA. Kwa msingi huo hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kumkwamisha ktk jambo lolote lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…