Na mikutano ya hadhara nalo ni jambo la mchakato ndugu Mwananchi?!Katiba ni mchakato, kwanini wanataka jambo hilo kwa kulazimisha? Bajeti ya kuliendea jambo hilo wanayo hao Chadema?
Btw, CHADEMA au yeyote yule ana haki ya kudai katiba mpya, na wala sio dhambi kudai katiba mpya!! CHADEMA kama chama cha siasa, nao ni wawakilishi wa hao uliowaita:-
Hayo makundi mengine na wenyewe, baadhi yao ni wafuasi wa CHADEMA....Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?
Hayo makundi mengine lazima yapate driving force ya ku-demand katiba mpya, ili hatimae, na wao wawasilishe yale wanayoona yanafaa exclusively kwa makundi yao, na taifa zima kwa jumla!!!
Kwahiyo sio sahihi kuaminishina wanachofanya CHADEMA ni hujuma, kwa sababu wana wajibu wa kufanya kile wanachofanya sasa... yaani kudai katiba mpya!!