Cdm wanadai hiyo katiba mpya kwa mtazamo wao na ni halali yao, huyo rais na chama chake wanasema katiba haipo kwenye ilani yao. Unataka wabembeleze nini? Hao unaosema wananchi nani kawazuia kudai hiyo katiba mpya, kama ww unaona hamko tayari kwa hiyo katiba tulieni wanaoona waidai, siku mkiwa tayari mtadai ya kwenu.
Ni lini wananchi wa nchi hii wamekuwa na ajenda ya wazi ya pamoja, zaidi ya kusubiri kuongozwa na hao hao wanasiasa? Kila siku tunasikia tuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu elimu yetu, afya, je ni lini ajenda hizo zimewahi kuratibiwa na hao wananchi, zaidi ya kuratibiwa na wanasiasa, na kuita watu wachache kwa jina la wadau na kupitisha watakacho? Nasema hivi, acha uduwanzi we dogo, kama unaona ccm wananyimwa raha kisa rais ni muisilamu, hiyo ni kimpango wako, watu walioko tayari wataidai hiyo katiba mpya, ww subiri siku huyo mama mkimuomba nyie waisilamu wenzake, awape katiba mpya kwa kuwaheshimu.