Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

Hapa umesema kweli! Naona siku za Honey Moon za Mama Samia zimefikia mwisho baada ya siku 100. Mbowe anasahau kuwa huo uhuru wa kumjaribu Mama Samia kaupata kwa Samia mwenyewe. Ingekuwa busara kumpa muda kwa vile aliomba "muda kidogo tu". Wengine tumempa muda.
WAJINGA wengi huwa wanawaza namna hii
 
Wapi president SAMIA kakataza wao,chadema wasifanye shughuli zao za kisiasa??

Wapo huko mikoan kila siku wanafanya mikutano,je wamezuiwa??

Kama hawajazuiwa,sasa wanataka nini,

Na katiba hii ni ya wananchi,siyo ya chadema na wao hawana hati miliki ya kutuamulia sisi,they are just politicians
Wanaharakati wanataka kumpotezea malengo Rais Samia, wanam-beep.
 
You are very very right...

You have just put it in the shortest term known to me.

Thank you,if it's like that then let it be...
Huu ndio udhaifu wako unaokufanya uonekane mjinga na wengine, kama unaona dini ni bora zaidi ya siasa jitoeni huko serikalini muende misikitini mkafanye mambo yenu, hakuna atakaewafuata huko.

Lakini kumtetea mtu anaevunja sheria za nchi kwa kigezo cha dini yake ni upuuzi uliopitiliza.

Kwa namna hii, hakuna mwenye akili timamu atakae kuamini mtu wa aina yako hata kama ukiwa na hoja ya msingi namna gani, jifunze kutofautisha dini na siasa, ukiendelea kuongozwa na mahaba ya dini kila wakati kwenye kila jambo utageuka kichekesho.
 
Friends and Enemies,

Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti?

Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya nchi hii.

Wao kama wanasiasa ni kundi moja tuh wenye maslahi yao na katiba hii, na maslahi yao kama chama cha siasa ni kushika Dola, lakini Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?

Rais Samia kaahidi na kaomba apewe muda, hawataki na wanataka kulazimisha.

Magufuli hakuahidi, na alisema siyo kipaumbele chake, waliufyata na kukaa kimya, sasa tunawauliza wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwasababu gani?

Kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke?

Wana ajenda gani kwani.
Wapinzani wana uzoefu wa haya mambo kuliko mimi na wewe, shehe wangu.
Haya mambo bila kuweka shinikizo hakuna kitakachotokea. Asilani!

Mwl Nyerere mwenyewe aliruhusu mfumo wa vyama vingi baada ya kupata mashinikizo - tena makubwa tu. Kulikuwa na wahifidhina ndani ya CCM ya wakati ule (ambao wapo pia ndani ya CCM hii ya leo ya rais Samia) waliokuwa wanamwambia Mwl Nyerere (na rais Mwinyi then) akatae kushinikizwa na waliowaita eti "watu wanaotumiwa na mabeberu". Mimi nilikuwa ndani ya CCM then, najua ninachosema!
 
Watu wa pwani wana msemo unasema UKICHEZA NA MBWA ATAKUFUATA HADI MSIKITINI
Mama alianza kwa kucheza nao sasa asubiri wamfuate hadi msikitini

Nina uhakika kwa hii miaka 4 iliyobaki mama hawezi kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya na CHADEMA wanalijua hili ila wanatafuta kiki ambazo hazitakua na faida kwao

Sent using Jamii Forums mobile app

Thank you,wanashupalia katiba mpya kuliko kuipigania hii iliyopo,

anyway it's a gud thing,we need katiba.,

Katiba mpya wao kama chadema wanataka Ili iwasaidie kushika Dola,na katiba mpya sisi wananchi tunaihitaj Ili itusaidie KWENYE changamoto zetu za Maisha,sote tunaihitaji
 
Huu ndio udhaifu wako unaokufanya uonekane mjinga na wengine, kama unaona dini ni bora zaidi ya siasa jitoeni huko serikalini muende misikitini mkafanye mambo yenu, hakuna atakaewafuata huko.

Lakini kumtetea mtu anaevunja sheria za nchi kwa kigezo cha dini yake ni upuuzi uliopitiliza.

Kwa namna hii, hakuna mwenye akili timamu atakae kuamini mtu wa aina yako hata kama ukiwa na hoja ya msingi namna gani, jifunze kutofautisha dini na siasa, ukiendelea kuongozwa na mahaba ya dini kila wakati kwenye kila jambo utageuka kichekesho.

You call it weakness,

I call it way of life,huelew hivi vitu young bavicha,it will take time for you to catch up with it...
 
You call it weakness,

I call it way of life,huelew hivi vitu young bavicha,it will take time for you to catch up with it...
Stupid way of life, maisha ya msikitini unalazimisha kuyahamishia kwenye siasa, two different arenas.
 
Wanaharakati wanataka kumpotezea malengo Rais Samia, wanam-beep.

Wanafeli,wameitoa hoja na imepokelewa,

Sasa wanataka kutumia nguvu kuilazimisha hoja ifanyiwe Kaz kwa utashi wao,wanasahau kuwa hii ni nchi,kuongoza nchi siyo kitu Cha mchezoo,yeye mwenyewe mbowe ana miaka 17 amekomaa kwenye uenyekiti wa chama na kuondoka hataki unadhan ni kwa nin??

Twende pole pole
 
Wapambe??mpambe ni Kama chawa...

Kwan wewe hutujui vizur sisi?? wenzako mbona wanatujua Sana,sisi tunaitwa magaidi,wafia dini,waislam wenye siasa Kali,wavaa barakashia na makubaz au wakata suruali,hayo ni sample tu ya majina yetu,sisi siyo wapambe...

Ofcourse yes,akinyanyaswa yeyote yule sababu tuh kwa kuwa yeye ni muislam hapo sisi lazima utatuona tuko front kabisa kuicheza hiyo ngoma...

thats why tunawauliza chadema,wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke??
Pumbavu kama unaona anakwamishwa Sababu ni muislam au mwanamke mwambieni aachie ngazi akawe mufti mkuu wa bakwata, tabu zote hizo za nini?
 
Wanafeli,wameitoa hoja na imepokelewa,

Sasa wanataka kutumia nguvu kuilazimisha hoja ifanyiwe Kaz kwa utashi wao,wanasahau kuwa hii ni nchi,kuongoza nchi siyo kitu Cha mchezoo,yeye mwenyewe mbowe ana miaka 17 amekomaa kwenye uenyekiti wa chama na kuondoka hataki unadhan ni kwa nin??

Twende pole pole
Kibaya zaidi anayejitokeza kushindana na Kaka Mbowe siku zote lazima akumbane na fitina. Ni saccos yake anayoitumia vilivyo.
 
Stupid way of life, maisha ya msikitini unalazimisha kuyahamishia kwenye siasa, two different arenas.

Brother mbona msikit unakuumiza Sana??

Welcome comrade,the door is open for you to convert in to Islam,

Hakuna sehem tuliposema tunahamishia maisha ya msiktin kwenye siasa,hayo unasema wewe...

Hoja ni kwamba chadema wanataka KUMKWAMISHA RAIS SAMIA KWA KUWA NI MUISLAM AU KWA KUWA NI MWANAMKE??
 
Pumbavu kama unaona anakwamishwa Sababu ni muislam au mwanamke mwambieni aachie ngazi akawe mufti mkuu wa bakwata, tabu zote hizo za nini?

Thanks,kwa kuniita mpumbavu,

Ila waambie chadema ishu ya katiba ni yetu sote wananchi,na president kaomba tumpe muda,kama wao hawataki kumpa muda,basi makundi mengine tupo tayar kumpa muda,wao chadema wasituamlie sisi wananchi
 
Mama alipotaka kuwafurahisha kuonekana yeye ni tofauti Sana na Mwendazake,akawaahidi ataliangalia ndo alifungua mlango,yeye angewaambia tu kuwa ni rais wa sita awamu ya tano,ambayo swala la katiba halipo.
 
Under mwendazake??

Huo utulivu utokee wapi??

Si walikuwa wanashinda mahakaman hawa daily,umesahau??

KIBOKO yao kavuta now they're pretending to be constitution heroes...
unakubali MEKO alikuwa muharibifu bora amenyakuliwa faster?
maana mihula iliyopita kabla ya MEKO hali ilikuwa bardiiiii Kuingia MHUTU mambo ni faya faya faya MUNGU akauzima
 
Friends and Enemies,

Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti?

Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya nchi hii.

Wao kama wanasiasa ni kundi moja tuh wenye maslahi yao na katiba hii, na maslahi yao kama chama cha siasa ni kushika Dola, lakini Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?

Rais Samia kaahidi na kaomba apewe muda, hawataki na wanataka kulazimisha.

Magufuli hakuahidi, na alisema siyo kipaumbele chake, waliufyata na kukaa kimya, sasa tunawauliza wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwasababu gani?

Kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke?

Wana ajenda gani kwani.

Kwamba?

"Kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke?"

Si kuwa nyie ni wale mnaotaka kumfarakanisha Mama na yeyote kwa lolote hata kama ni la kijinga tu?

Kulikuwa na uzi hapa unaokuhusu wewe na wenzio:

Tunawajua na tunajua ni nia yenu kuona kuwa mustakabala mwema wa Taifa hili haupatikani.
 
Ulivyoingiza udini tu umeharibu kila kitu wewe ni mjinga mkubwa, ulipaswa kumtetea na tunapaswa kumtetea kwa kuwa ni CCM na sio kwa sababu ni muislamu.
Ila yote kwa yote chadema ni wapuuzi na hakuna katiba mpya, kwani wananchi tunataka kuinua uchumi tu
 
Brother mbona msikit unakuumiza Sana??

Welcome comrade,the door is open for you to convert in to Islam,

Hakuna sehem tuliposema tunahamishia maisha ya msiktin kwenye siasa,hayo unasema wewe...

Hoja ni kwamba chadema wanataka KUMKWAMISHA RAIS SAMIA KWA KUWA NI MUISLAM AU KWA KUWA NI MWANAMKE??
Nautaja coz umeuweka, vinginevyo nisingeugusa, achana na imani ya Samia nxt tym.
 
Back
Top Bottom