Acheni ujinga, tunawauliza chadema kwani katiba ni kupika mbege??
Hilo ni suala lahitaji pesa,wao wanalazimisha iwe saiz,yeye samia anapata wapi pesa hiyo??
Madeni ambayo serikali imeingia juu yetu sisi Walipa kodi hayaelezeki,Tena tuingie kwenye maden mengine kisa tuh chadema wanapressurize katiba??
..Raisi afanye harakati za kujenga uchumi.
..Chadema wafanye harakati za katiba mpya.
..Kutuhumiana mambo ambayo hayapo siyo jambo jema.