Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Siku ukitia akili kichwani wewe GOI GOI utaelewa tu lakini kwa sasa endelea na UZWAZWA wako.

 
MichaelMwebe

@MichaelMwebe

·
10 Jun

Karia kawashika wajumbe na media, ndio faida ya kutetea kiti, usishangae sehemu kubwa ya media inawashangaa wagombea wanaolalamika utaratibu ambao hata Karia mwenyewe aliukataa wakati anagombea mwaka 2017. Jambo linalosubiriwa sio kura za wajumbe bali nani ana BARAKA za serikali
 
Siku ukitia akili kichwani wewe GOI GOI utaelewa tu lakini kwa sasa endelea na UZWAZWA wako. View attachment 1837222
Achana na maneno ya Nyerere, yeye pia katawala kwa hii Katiba.

Tujadili maneno.ya mfalme wenu Mbowe.

“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”———

Vipi upo tayari kuingia barabarani?
 
Nchi ni shwari imebadilika kuna uhuru wa kudai katiba kama tulivo pewa haki kwenye katiba ya sasa
Ingekua enzi za Jiwe wacha kuingia barabarani hata huu mkutano usingekuwepo.
Watu walishakimbilia Dubai , Belgium ,Canada,Kenya
Ingekua Jiwe yupo huu mkutano upo karibu na Segerea !
 
Badilisheni kwanza katiba ya Chadema punguani wewe.
We shetani katiba ya CDM inaathiri vipi wananchi kupatiwa Katiba mpya ya nchi yao? JK alipoanzisha mchakato ule mbona hakulalamikia katiba ya CDM?
 
Acha UPUMBAVU wewe!!! maneno ya Nyerere huyataki lakini ya huyo mama wa KUDEMKA ndiyo unayakubali!!! Akili za wapi hizi? Unadhani huyo wa kudemka ana haki zaidi ya Baba wa Taifa katika Nchi hii!? Mtaua wangapi mpuuzi wewe!!!! Kulikuwa na mwenye jeshi lenye nguvu Afrika kama Mubarak? Mbona nguvu ya UMMA ilimpiga chini pamoja na jeshi lake zuri?

 
We shetani katiba ya CDM inaathiri vipi wananchi kupatiwa Katiba mpya ya nchi yao? JK alipoanzisha mchakato ule mbona hakulalamikia katiba ya CDM?
Wewe niite upendavyo jibu swali langu.

Hivi h toka wameanza kususia Chaguzi nini mmenufaika?
 
Nchi ni shwari imebadilika kuna uhuru wa kudai katiba kama tulivo pewa haki kwenye katiba ya sasa
Ingekua enzi za Jiwe wacha kuingia barabarani hata huu mkutano usingekuwepo.
Watu walishakimbilia Dubai , Belgium ,Canada,Kenya, wewe.mwenyewe upo huru unatukana matusi yote na kama una matusi mapya ruksa kitukana
Ingekua Jiwe yupo huu mkutano umefanyika karibu na Segerea !
 
Utawala wa awamu ya tano kwa mara ya kwanza watanzania tulishuhudia mvi za Mbowe.
 
Mpumbavu kweli wewe nani alikudanganya nchi ni shwari? Kwa utafiti upi uliofanya na kuhitimisha nchi ni shwari? Lini nchi haikuwa shwari? Na nani alisababisha nchi kutokuwa shwari? Uliandika humu kumpinga huyo aliyesababisha nchi kutokuwa shwari?

Katiba mpya inayoendana na mfumo wa vyama vingi nchini ni HAKI ya vyama vya upinzani na Watanzania kuidai kwa nguvu zote na huyo mama wa kudemka au maccm hakuna popote kwenye Katiba ya nchi au sheria za nchi walipopewa haki ya kuzuia madai hayo. Wewe mpuuzi kama hutaki katiba mpya piga kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.


 
Sisi huwa hatuko na akina Mbowe. Ila kwa uhuru wa mikutano ya hadhara tuko nao sana! Hata Tundu Lisu hatukuwa naye pamoja, lakini alipoonewa toka kumiminiwa risasi tuko naye hadi leo. Kuoanga ni kuchagua. Kama Rais wa sasa naye anataka legacy ya ubabe ataipata
 
Uislam umeingiaje hapa? Au Mbowe ndiyo kawatuma kujibu pumba.

Nani kampa mamlaka Mbowe ya kuwasemea watanzania?
Hasira zote hizi Mbowe baada ya kujikuta yeye na hawara yake Mukya hawapo mjengoni
 
ASANTE MUNGU KWA MAISHA YA MPENDWA WETU JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. KWANI WADHURURAJI WOTE WALIKIMBIA NCHI

R. I. P CHUMA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…