Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #101
Lini wananchi tulikaa na kukubaliana kwamba sasa' mahitaji yetu ni kupambana na corona na kuinua uchumi?! Msitupangie kwa maslahi
yenu. CCM siyo wanachi, ni genge
Badilisheni kwanza katiba ya Chadema punguani wewe.Wewe mtanzania au wewe mpuuzi fulani wa CCM?
Katiba ya wananchi ilitakiwa miaka 30 iliyopita. HUSUBIRIWI MTU.