Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Nyie mngekuwa enzi za utumwa... Mngekuwa mshaolewa wote na wazungu..

Fikra zako ni zakitoto sana.. Unafikiria kupitia makalio
 
Mnvyoongea ni kama vile Mbowe anadai katiba itakaynufaisha familia yake tu.
Angalia vitu wanavyodai ndio utajua wapo kwa maslahi yao binafsi hiv nikuulize lini umewahi kuona Tundu lisu kajitolea kupambana kisheria kwa maslahi ya umma mfano kujitolea kisheria against mwananchi anayodai ardhi yake kuporwa na mengine kama hayo.
 
Angalia vitu wanavyodai ndio utajua wapo kwa maslahi yao binafsi hiv nikuulize lini umewahi kuona Tundu lisu kajitolea kupambana kisheria kwa maslahi ya umma mfano kujitolea kisheria against mwananchi anayodai ardhi yake kuporwa na mengine kama hayo.
Kama mnufaika wa mazingira ya sasa ama wa ile awamu yenu pendwa sema,porojo hatutaki.
 
Ni kwanini unakimbilia kusema kuwa CHADEMA wanamjaribu Rais Samia kwa kumuona ni Dhaifu na hupongezi Hekima, Utu na Busara ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoheshimu Afya ya Siasa za Demokrasia nchini Tanzania?

Na ni nani alikuambia kuwa Rais Samia akiwa Mkali na Mbabe kwa Wapinzani ( hasa hasa CHADEMA ) ndiyo Ufanisi wake Serikalini utakuwa mzuri na Tanzania itapaa Kimaendeleo haraka mno huku Umasikini ukiisha kama siyo Kupungua kwa Watanzania wote?
 
Wamesema eti wataanza kuandamana na sijui kufanya nini ,wahimizeni waanze maana jela kuna nafasi ya wale waliosamehewa siku za hivi karibuni.
 
Wafuasi wa Mbowe mnafurahisha sana kwani raisi kakataa kuwa katiba siyo muhimu? Yaani Mbowe anavyowapelekesha nyie mnataka rais naye afuate upuuzi wake? Mbowe katoa wapi mamlaka ya kuwa msemaji wa Watanzania?
 
Wewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, cdm hawajawah kususia uchaguzi kwa kisingizio cha katiba wala tume huru ya uchaguzi! Why now??? Je, kuna mwanya mahali wameona wakiutumia watafanikiwa? Je, huko nyuma walikua hawalijui hitaji la katiba mpya?? Political gain.
Ruzuku, Ruzuku
 
Hivi Samia hamuulizi hata JK kilichomtokea?

Kwamba aliwapa uhuru wa kufanya kila kitu hadi juice za ikulu walikunywa ila wakienda majukwani wanamwita dhaifu?
 
Nyie mngekuwa enzi za utumwa... Mngekuwa mshaolewa wote na wazungu..

Fikra zako ni zakitoto sana.. Unafikiria kupitia makalio
Mbona makamu wenu hataki kubanduka kwa amsterdam?

Tunajua alienda kwa kuumwa lakini si kapona?
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…