Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mama Samia fungia hata hiyo mikutano ya ndani haina faida yeyote zaidi ya kueneza Covid 19
 
Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Hv watu wa CCM kwani hatuwezigi kuwajibu hawa jamaa kwa facts?

Kwa nini tuwaite genge, ilhali ni watz kama tulivyo sisi wana CCM?

Kwa nini tutumie vitisho / intimidate (Amiri Jeshi Mkuu) wakati wanazungumza kisiasa, kuna haja gani sisi kujibu ki Jeshi Jeshi?

Wana CCM tubadilike, wapinzani hawajahi kuwa na hoja za kutushinda kuwajibu, lkn majibu mepesi mepesi na ya uoga kama haya ndio yanayowapa biiiiichwa lkn jamaa zetu hawa ni weupe kama karatasi
 
Wangeanza na Katiba Ya chama chao Kwanza....! We M/kiti Kang'ang'ana Kwenye Kiti Ka Ruba.
Kwani katiba ya chama Chao kinamhusu Hashim Rungwe Spunda?

Katiba ya chama Chao ni katiba ya nchi? Si ni kama katiba ya hv vikundi vya mikopo ya halmashauri?

Toa facts Kwa nn katiba mpya isiwepo? Acha kutudhalilisha wana CCM, siku hz hatutaki wanachama laini laini wasio na hoja
 
Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Ritz

Acha porojo. Toa majibu yanayoeleweka, mbona wana CCM mnakuwa hv jamani?
 
Mda sio mrefu ataanza kubweka anaonewa
Kwamba mtaanza kutumia Polisi, au sio? Acheni uoga wa kishamba, fanyeni siasa acheni kujificha kwenye nguvu ya Polisi, maana naona mwenzako naye anaanzisha uzi akisema amiri Jeshi Mkuu sijui nini....kwann hamuwezi nyie kwenda ukumbini na kujibu hoja kwa hoja mpaka msaidiwe na Jeshi ama Polisi?

Hayo mazoea hatunayo tena kwenye chama, sasa hv chama ni cha hoja sio vitisho na intimidation za kizamani
 
Sio wewe uliosusa baada ya teuzi za Kayafa kuwa na mfumo Kristo,sasa hivi kwa kuwa yupo wa imani yako umefufuka. Punguzeni Udini wewe, The Big Show, The Boss na Kibibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nice observation ;
Hizi ID zilipotea sana ila kwakua "mwenzao" ameshika kiti wanapeana zamu kumtetea.

Leo hii THE BIG SHOW ni wa kutetea CCM wkt alikua anamkosoa JPM kila kukicha? Bado Mohamed Said atafufuka na thread za Mfumo Kristo!!

Weird
 
Huyo "mwenzao" wewe sio mwenzako?

Kwa kusema "mwenzao" huoni kua hakuna tofauti yeyote kati yako na hao ulio wataja?
 
Tofauti ipo sababu mie sijawahi jadili mada kwa mrengo wa kidini. Ila hao niliowataja na FaizaFoxy wameibuka kutoka shimoni. Na watakua mwendo wa kutetea kila kitu kwa defence ya dini.

Unaona ni sawa kweli?
 
Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Stupid mamlaka yapi? Jinga kabisa
 
Bwana yule alipotoa kauli ile ya “Not to that extent” kilichofuata ilikuwa ni msiba na huzuni ila chanzo walikuwa wapuuzi hawa hawa akina Mbowe
 
Back
Top Bottom