Tunamlaumu Mbowe kwa sababu huwa tunakwenda naye vizuri ila ikifika critical hour huwa anabutua, anachomesha!
1. Ndivyo alivyobutua kwa kuua Umoja wa Kudai Katiba mpya kwa kumleta Mpinga Katiba mpya inchief bwana Lowasa kuwa Mgombea mwaka 2015.
2. Ndivyo alivyochomesha baada ya kuwa watu tumeshakuwa tayari na maandamano ya UKUTA
3. Na Sasa Umma umeikalia kooni serikali ya CCM ktk ishu ya bandari, Maji yalianza kuizidi CCM, nayo kimkakati ikaamua kuchukua njia ya kukaa kimya, kuwazuia makada wao kuzungumza chochote kuhusu bandari ili upepo upite. Sasa wananchi wazalendo wanataka kukkep the flame alive, na kuipiga presha CCM na serikali yake. Mbowe anachomesha tena!. Kama kawaida, tulianza naye vizuri pale Bulyaga Temeke, then tumefanikiwa kuislow CCM na serikali yake katika hii ishu, cha ajabu at the moment tunahitaji tuunganishe naye nguvu, Mwamba anatuchoma tena!
4. At the Moment Samia anadelay kutupa katiba mpya, wananchi wanataka kumpiga presha, Mwamba kama kawaida yake, at the last minute anajichomoa!. Thats why tunahisi labda Mwamba ni Gatekeeper. He is only allowed by CCM to go far up to where CCM let him go, beyond that, it is a red line!
Usikute DP World wameshapenyeza Rupia!