Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Atatakiwa ajitetee dhidi ya tuhuma hizo. Inaweza kuwa mbaya zaidi kwa serikali maana kuna mambo yataivua nguo ukiwepo uwezekano wa DCI wa zamani kuitwa kutumika kama shahidi wa utetezi maana ametajwa lakini hakutumika na Sirro piaMimi ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya Sheria na Mahakama..je FAM akikutwa na kesi ya kujibu what is next??..
Leo umelipwa posho akoVumilia tu hakuna namna manka!
... Adv. Kibatala noma sana! Ana uwezo wa hali ya juu sana kuwavuruga mashahidi wa kuungaunga!Sasa mkuu yule mwanamama mwenye GROCERY shaidi HURU wa mchongo kashasema akisimama na kukaa SAHINI zake zinatofautiana sasa kuna nini hapo ikiwa vielelezo vyaonesha ni SAHINI za watu wa wawili tofauti
na huyo ndio mmoja wa mashaidi muhimu km itafunguliwa KESI ya SILAHA na MADAWA
na yule mama hawezi kukumbuka tena ule USHAIDI wa Uongio aloutoa mara kwanza
sasa mkuu wangu unadhani kwa kibatala atatoka yule mama km si kugikwa na SIKU ZAKE GHAFRA
unajua kwanini wamesitisha kuleta mashaidi wengine 7bu kibatala kabadili mbinu now anawapeleka SHOW siku 3 mpk 4 sasa shaidi wa uwongo kwa siku 1 uwezi kujiandaa kwa kesho yake
halafu mzee mzima kibatala anakupeleka mbele anakarudisha nyuma anaenda katikati ushawahi kuona SERIEZ fulani inaitwa LOST basi MZEE mzima kibatala anakupeleka kama ile SERIES na ukijichanganya kwenye JIBU basi buana hilo jibu linazua maswali kibao ya papo kwa hapo yaan wewe hata ukijikuna kudadeki linakuja swali hapo mbaya zaidi ni la kisheria sasa na huna ujanja utajibu ukikataa utasikia MHESHIMIWA JAJI NAOMBA ANIJIBU ha ha ha utajibu tu kiunyonge si ushayakoroga
hapo lazima uombe poo uende UKANYE ndio urudi kizimbani ama sivyo utaumwa kichwa kudadeki
Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
Tundu Lisu kampiga mzinga mama.......hahahaaaa Ulaya maisha magumu!Leo umelipwa posho ako
Jamaa ni master balaaTundu Lisu kampiga mzinga mama.......hahahaaaa Ulaya maisha magumu!
Subiri hukumu.... Adv. Kibatala noma sana! Ana uwezo wa hali ya juu sana kuwavuruga mashahidi wa kuungaunga!
Giza litashinda mkuuNafasi ya 1, nikisubiria kwa hamu kubwa kuona kati ya giza na mwanga, kipi kitashinda.
Sasa mbona wewe umeonesha uamuzi wako wa upande wa CCM!Wengi wao wanataka mahakama isiwe huru hata kidogo. Wanataka Jaji aamue wanavyotaka.
Jaji anatakiwa apitie jalada na kuangalia ushahidi uliotolewa na wala sio kutoa maamuzi kwa kusikiliza presha za wafuasi wa wanasiasa.
Mahakama inatakiwa kutoa maamuzi bila yupata presha.
Utetezi watajitetea kwa kuleta mashahidi. Hapo usishangae mpaka Chifu Hangaya akaitwa mahakamaniMimi ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya Sheria na Mahakama..je FAM akikutwa na kesi ya kujibu what is next??..
Yap na ule msururu wa maaskari magereza na magari yao mabovu yatarudi gerezani, Mbowe na walinzi wake watapanda V8 la Mbowe kurudi nyumbaniThanks..na kama hamna kesi ya kujibu itakuwa ina maanisha Freeman atakuwa Free yeye na wale wenzake sio?
Jaji kaingia mitiniSubiri hukumu.