stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Haha si kila uchaguzi mnaongea Yale Yale tu, kila uchaguzi maneno ni Yale Yale, na matokeo ni Yale yaleKama ulozoea kula kwa kutegemea CCM basi tafuta kazi rasmi ya kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha si kila uchaguzi mnaongea Yale Yale tu, kila uchaguzi maneno ni Yale Yale, na matokeo ni Yale yaleKama ulozoea kula kwa kutegemea CCM basi tafuta kazi rasmi ya kufanya
Usi conclude hivyo😁😁😁IGP kateuliwa na Magu.Yani kwa akili zako zoooote unaona kabisa anaongea ni anamaanisha.Kweli kuna watu siasa za bongo hamzijui kabisa.
Ukanda upo wapi hapo?Wameanza kuigawana nchi kumbe waziri mkuu hana vigezo vya elimu au ndio ule msemo wa ukanda unataka kutimia.
Acha kufarakanishaMgombea ubunge wa jimbo la Hai ambaye ni mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema Tundu Lisu atakuwa Rais wa Tanzania na Mungu akipenda yeye ( Mbowe ) atakuwa Waziri mkuu.
Source Jamii Forums
My take; Zitto Kabwe mbona mnamsahau mapema hivi!
Maendeleo hayana vyama!
Hata mimi kuna jamaa yangu alikuwepo kwenye semina na walielekezwa wafuate sheria na taratibu za uchaguzi. Hivyo ndivyo walivyoambiwa na kila mtu amuamini jamaa yake.Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mmeshaanza kugombea vyeo duuhWaziri Mkuu atakuwa Zitto Kabwe
Pesa kidogo tu anajitangaza kuwa PM.Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Rais
Chanzo: Mwananchi online
====
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mbowe ametoa kauli hiyo leo Jumapili Oktoba 25 katika mji mdogo wa Bomang'ombe wilaya ya Hai wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni huku akisema Mungu akipenda, yeye anakwenda kuwa Waziri mkuu.
Hata hivyo, Mbowe ambaye pia anagombea ubunge jimbo la Hai, alitahadharisha kuwa kitendo chochote cha kuwazuia mawakala wao 80,160 nchi nzima wasiingie kwenye vituo vya kupigia kura Oktoba 28, kunaweza kubadili historia ya Tanzania.
Hivyo, aliisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyombo vya Usalama, kuhakikisha hakuna jaribio lolote la kuwazuia mawakala wao kuingia kwenye vituo kusimamia upigaji kura na wao watakuwa tayari kukubali matokeo kama uchaguzi utakuwa wa huru na haki.
"Uchaguzi huu sio kati ya Chadema na CCM wala uchaguzi huu sio kati ya Lissu na Magufuli (mgombea urais wa CCM) bali ni kati ya wanaopenda uhuru na haki na waliokandamiza uhuru na demokrasia," alisema Mbowe.
Mbowe amesema wamezunguka mikoa yote ya Tanzania na wananchi wapo tayari kufanya mabadiliko ya uongozi na kusisitiza kuwa kwa mwonekano na hamasa waliyoionyesha Watanzania, Lissu anakwenda kuwa Rais ndani ya saa 72 zijazo.
Hivyo, ameitaka NEC kuhakikisha uchaguzi huu hauvurugwi kwa namna yoyote kwa sababu gharama yake itakuwa kubwa na kusisitiza kuwa wako tayari kukubali kushindwa kama NEC na vyombo vingine vitahakikisha uchaguzi umekuwa wa wazi, huru na haki.
Usipanic ndugu yangu wajinga Kama hao unawaangalia walivyochanga yikiwa unawaachaNashangaa moderator anakubali kurusha uzi wa uchochezi wa aina hii. JF tunajua mwelekeo wenu wa siasa ukoje lakini achaeni upendeleo wa wazi mnaoonesha hivi sasa na kuruhusu nyuzi kama hizi tu kwa sababu zinaegemea kuchafua CCM. Kuweni fair japo najua ni ngumu kwenu
Ulitaka lisu ashinde!!?Yani nasikia kwenye mafunzo ya wasimamizi huko,wasimamizi wakuu wanafundishwa namna ya kuukandamiza upinzani na kuhakikisha jiwe anapita kwa kura nyingiiii
Hii kauli inazidi kumnyima kura Lissu! Hatuwezi kumchagua Rais anayepangiwa nini cha kufanya hasa kwenye majukumu mazito! Kumpata waziri Mkuu ni jukumu zito!Mbowe ametoa kauli hiyo leo Jumapili Oktoba 25 katika mji mdogo wa Bomang'ombe wilaya ya Hai wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni huku akisema Mungu akipenda, yeye anakwenda kuwa Waziri mkuu.