Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Sijawahi kuona lissu akimtukama mbowe, labda tafsiri ya matusi ibadilikeLISSU ANANITUKANA UCHAGUZI UKIISHA HATUA ZITACHUKULIWA
-FREEMAN MBOWE
So what!?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
matusi yapo aina tofauti, kuna kejeli, na kuna matusi ya nguoni,..Sijawahi kuona lissu akimtukama mbowe, labda tafsiri ya matusi ibadilike
Chama cha upinzani nacho kisimamiwe uchaguzi na mabalozi ? Mnaiambia nini dunia ?
Yani Mwafrika huna uwezo, huna uthubutu, huna akili ya kutenda demokrasi hata kwenye upinzani ?? Mpaka usimamiwe na mgeni ??
Hivi Mwafrika una mchango gani hapa ulimwenguni ?? You can't do shit for yourself!
Wanatushangaa, wanatucheka, wanatudharau sana masikini ya Mungu.
Wewe mafia hujui hata maana yake, lissu ana u mafia gani? He is not even part of it?chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.
lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .
if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Hizo ndio tabia za watu wa singida.si wanaume wala wanawake wote si wastaarabu kabisa ni wajuaji sana mm nimesoma nao nawajua vizuri sanaWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
..haahaa ndo maana umeshindwa kuthibitishamatusi yapo aina tofauti, kuna kejeli, na kuna matusi ya nguoni,
..haahaa Nina wasiwasi hata wale machawa mbowe anawapa kitu sio bureeMbowe anazidi Kujivunjia Heshima. WACHAGA HATUPO HIVYO. Sasa kama ulimfanyia mema unataka mkitofautiana misimamo asikupinge?! Kisa Umemfanyia mengi mema. Jiweke pembeni Mbowe watanzania wamekuchoka mzee wa maridhiano we want changes
Mbowe yupo hoi Akili zote zimedumaa kabakia kujisemea semea tuMzee anapambana abaki kuwa kiongozi wa maradi wake
Lissu na Heche na wananchi wengine wameweka nchi mbele zaidi ya matakwa yao binafsi. Mbowe bado anafikiri kugombea kwao ni kwasababu yake wenyewe wanafikiri ni kwasababu ya kusaidia taifa. Mbowe inabidi atoke kwenye kufikiri kibinafsi. Lengo hapa ni taifa na wenyewe wanafikiri wanaweza kuamsha watu wote kwa manufaa ya nchi. Mbowe bado hajajibu swali ni kitu gani tofauti atafanya tofautiWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Sasa kama Mbowe hizo ndio kauli zake sasa na mwenyekiti wa BAVICHA nae aseme nn sasa maana inaonekana hatutaki kuachia nafasi ndani ya Chama yaani hatuko tayari,inatisha na kusikitisha sana.Wanaukumbi.