Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
LISSU ANANITUKANA UCHAGUZI UKIISHA HATUA ZITACHUKULIWA

-FREEMAN MBOWE
 
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wana CHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambotv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji😀

#Tumerogwa?
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
So what!?
 
Chama cha upinzani nacho kisimamiwe uchaguzi na mabalozi ? Mnaiambia nini dunia ?

Yani Mwafrika huna uwezo, huna uthubutu, huna akili ya kutenda demokrasi hata kwenye upinzani ?? Mpaka usimamiwe na mgeni ??

Hivi Mwafrika una mchango gani hapa ulimwenguni ?? You can't do shit for yourself!

Wanatushangaa, wanatucheka, wanatudharau sana masikini ya Mungu.

..hapana.

..uchaguzi wa Chadema kushuhudiwa na viongozi wa Dini, na Mabalozi, ni kuionyesha DUNIA jinsi uchaguzi huo ulivyo safi, huru, na wa kuaminika.

..utakuwa fundisho hata kwa nchi nyingine marafiki, na hata taasisi za kidini.
 
chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.

lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .

if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Wewe mafia hujui hata maana yake, lissu ana u mafia gani? He is not even part of it?

Hiko chama labda nje ya ccm, but wale walioishi SA,UK,INDIA watu wa aina hii wako mabunge yote duniani
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Hizo ndio tabia za watu wa singida.si wanaume wala wanawake wote si wastaarabu kabisa ni wajuaji sana mm nimesoma nao nawajua vizuri sana
 
Mtaweweseka sana wanalumumba.

Kama mahaba yamezidi kwa Mbowe mumchukue kama Msigwa.
 
"Mimi nilikuwa kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Lissu akawa Msaidizi wangu ,Nilipewa Nyumba Dodoma kutokana na Stahiki kwa Sheria za Bunge ,Nikamwambia Lissu tumia Nyumba yangu mimi nikaendelea kujigharamia , Nasikitika sana anachokifanya kwangu " Freeman Mbowe
 
Mbowe anazidi Kujivunjia Heshima. WACHAGA HATUPO HIVYO. Sasa kama ulimfanyia mema unataka mkitofautiana misimamo asikupinge?! Kisa Umemfanyia mengi mema. Jiweke pembeni Mbowe watanzania wamekuchoka mzee wa maridhiano we want changes
 
..haahaa Nina wasiwasi hata wale machawa mbowe anawapa kitu sio buree
 
Acha kulalamika sema sera zako ukichaguliwa utafanya nini. Inafikia hatua kwenye uchaguzi mawakala wa CDM hawapelekewi chakula. Wenzetu mawakala wa CCM asubuhi wanaletewa supu mchana wanaletewa pilau. Ila unachojua kuruka na CHOPA huku wanaolinda kura zisiibiwe wana njaa.TL yeye amesema atahakikisha mgao wa ruzuku unawafikia kanda zote za chama.
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Lissu na Heche na wananchi wengine wameweka nchi mbele zaidi ya matakwa yao binafsi. Mbowe bado anafikiri kugombea kwao ni kwasababu yake wenyewe wanafikiri ni kwasababu ya kusaidia taifa. Mbowe inabidi atoke kwenye kufikiri kibinafsi. Lengo hapa ni taifa na wenyewe wanafikiri wanaweza kuamsha watu wote kwa manufaa ya nchi. Mbowe bado hajajibu swali ni kitu gani tofauti atafanya tofauti
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Sasa kama Mbowe hizo ndio kauli zake sasa na mwenyekiti wa BAVICHA nae aseme nn sasa maana inaonekana hatutaki kuachia nafasi ndani ya Chama yaani hatuko tayari,inatisha na kusikitisha sana.
 
Nimemsikiliza Mbowe ktk part 2 ya mahojiano na Kikee , ameongea mengi sana.
Jinsi alivyomsaidia Lissu ktk siasa
Lilinifurahisha zaidi kwamba uchaguzi live kwa kila kura itayopigwa itaonyeshwa live kapigiwa nani. Inaamaana TV zote mpaka za ubelgiji zitakuwepo ukumbini kuonesha kura hii kapigiwa nani na hii kapigiwa nani.
Hii ndio itayomuabisha lissu ktk uchaguzi na ashindwe kuamini, maana swala la kuibiwa kura kwake litakua halipo. Ataanguka vibaya sana
Namshauri Lissu ajitoe kinyang'anyiro hichi
 
Back
Top Bottom