Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
Hizi akili ni utumwa!! Hivi kweli hamuwezi kuonesha ukomavu wenu hadi mualike wageni?? Yaani ushujaa na ukomavu wako kwa mkeo uthibitishwe na majirani? Serious? Huku ndo kujitawala??
 
CCM imenyamaza,kimya ikingojea chadema,kusambaratika!
Ila ikumbuke Msigwa,yumo CCM anasubiri kuisambaratisha
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hataki agombee Uenyekiti wa chama wala nafasi ya urais.
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Hizo hela zilikuwa zinatoka wapi?
 
Mtu anaye hodhi nafasi Fulani kwa muda mrefu anakuwa na Space ya Kutengeneza Ushawishi kwa wanaochagua Ivo Ku contest na Ambae hakuwa na hio nafasi Kuna mpa chance kubwa ya kushinda ivo kuna Nafasi term limit ni Muhimu kwa sababu inaleta Mtu mpya na Kujenga misingi fulani ya Uimara
George Washington mmojawapo wa Founding Fathers wa Marekani alihudumu kwa term Mbili tu na Wakati huo ndio Rais wa Kwanza wa Marekani alikuwa na uwezo wa ku extend muda wa kuwa kwenye power maana taifa Ndio lilikuwa Changa na wao ndio waanzilishi ila Hakufanya ivo kwa sababu ya kuset misingi fulani mizuri, Mpaka leo ni Rais mmoja tu wa Marekani ndio amehudumu zaidi ya Mihula Miwili Fraklin Roosevelt
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Safari zake? Safari za Lissu kwenda Tarime kuwatetea wananchi dhidi ya wamiliki wa Mgodi wa North Mara na Seriksli hazikuwa 'safari zake za Tarime', zille zilikiwa ni safari zenye public interests. Mbowe hakuwa pekee aliyemchangia Lissu, wachangiaji walikuwa ni wengi sana.
Kwa hiyo Mbowe haoni faida ya wale watu zaidi ya 400 kuteyewa ma Lissu hadi wakaachiwa?
 
Inawezekana mbowe ndiye aliyepanga mashambulizi
 
Naona mama anamkumbusha Mbowe fadhila alizotenda kwa Lissu, anajua bila ya Mbowe kufanya figisu Chadema hatobowi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…