Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi akili ni utumwa!! Hivi kweli hamuwezi kuonesha ukomavu wenu hadi mualike wageni?? Yaani ushujaa na ukomavu wako kwa mkeo uthibitishwe na majirani? Serious? Huku ndo kujitawala??..viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
Leo ilikua siku ya kumnanga tu lissu. Kasema pia siku akifunguka zaidi kuhusu lissu, lissu atakosa pa kupita...Mbowe si alishahojiwa na Kikeke wiki iliyopita?
..ina maana leo karudi tena kwa Kikeke kufanya mahojiano ya kumnanga Lissu?
Kwani Lissu anampinga Mbowe au anagombea cheo Cha Mbowe?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Hizo hela zilikuwa zinatoka wapi?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Mtu anaye hodhi nafasi Fulani kwa muda mrefu anakuwa na Space ya Kutengeneza Ushawishi kwa wanaochagua Ivo Ku contest na Ambae hakuwa na hio nafasi Kuna mpa chance kubwa ya kushinda ivo kuna Nafasi term limit ni Muhimu kwa sababu inaleta Mtu mpya na Kujenga misingi fulani ya UimaraMbowe yuko sahihi. 'term limit' is by nature anti-democratic. hiyo haimaanishi kwamba ni kitu kibaya; inamaanisha tu kwamba ina-limit uhuru wa watu ku-exercise their democratic right ya kupiga na kupigiwa kura. ni kawaida kwa kitu kuwa na faida na hasara:
uKila fungu lakina Dully akuna kukaa pembeni ila kama ni kweliMimi ningekuwa Mbowe ningekaa pembeni
kwahiyo......!?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
kwamba alikuwa anafanya bure, alifanya kwa ajili ya kukuza chamaTenda wema nenda zako.
Safari zake? Safari za Lissu kwenda Tarime kuwatetea wananchi dhidi ya wamiliki wa Mgodi wa North Mara na Seriksli hazikuwa 'safari zake za Tarime', zille zilikiwa ni safari zenye public interests. Mbowe hakuwa pekee aliyemchangia Lissu, wachangiaji walikuwa ni wengi sana.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Umetokea wapi wewe?.chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.
lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .
if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Inawezekana mbowe ndiye aliyepanga mashambuliziMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Kama Zanzibar tu sio....?Lissu haa akishinda hawezi kupewa chama.