Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unatoa mfano mmoja tu wa Marekani kwa nini au ndiyo una-click na wishful thinking zako? Vipi England au German au France au Italy and so on and so forth.
 
chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.

lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .

if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Sentensi ya mwisho haina ukweli, japo imeandikwa kwa kiingereza
 
Sasa Mzee Mbowe nae Kama Lissu alikuwa anaenda kuwatetea wachimbaji wadogo huoni huo msaada ulitoa kwa wachimbaji wadogo.?
 
Walishasema wahenga, "Rafiki yako wa sasa ni adui yako mtarajiwa"

Kusahau ni moja ya madhaifu ya mwanadamu!
Ndani miaka 30 bado kuna kitu amesahau ? Akipewa mi 5 atafanya ? Nini hicho ? Angepumzika kwa heshima......
 
Lissu akapime wanae DNA wasijekusema walimsaidia na huo upande 🙁)
 
Mlichokihitaji kwa sasa mbowe apate msiba , kimetimia.

Mnajifanya mko nae pamoja huyo dalali...tarehe 21 jan. ITAKUWA MAZISHI RASMI YA CDM.

Hamtakuwa pamoja nae tena...hicho kikombe atakinywa mwenyewe!
 
Hii kauli imethibitisha alikuwa anatoa rushwa
 
Chachu kidogo,huchachusha donge nzima
 
“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Amekosa shukrani ipi inayofanya asiweze kugombea uenyekiti ?
 
Mbowe sasa amekuwa
huu ujinga wa mbowe ubakie kwa wapumbavu wenzake wenye Akili ndogo za Division zero kama yeye, Mbowe sasa anazeeka vibaya uwezo wake wa kufikiri umeshuka sana, haya maneno ya tiketi kutoka mbali na mtu ni maneno ya kifedhuri ni masimango ya kijinga na ushamba kwani hata Nyerere wale waliomfikisha pale aligombea nao hakujali kuwa walikuwa wakimsaidia kwani msaada wa kutaka sloppy ni Rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…