M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Unatoa mfano mmoja tu wa Marekani kwa nini au ndiyo una-click na wishful thinking zako? Vipi England au German au France au Italy and so on and so forth.Mtu anaye hodhi nafasi Fulani kwa muda mrefu anakuwa na Space ya Kutengeneza Ushawishi kwa wanaochagua Ivo Ku contest na Ambae hakuwa na hio nafasi Kuna mpa chance kubwa ya kushinda ivo kuna Nafasi term limit ni Muhimu kwa sababu inaleta Mtu mpya na Kujenga misingi fulani ya Uimara
George Washington mmojawapo wa Founding Fathers wa Marekani alihudumu kwa term Mbili tu na Wakati huo ndio Rais wa Kwanza wa Marekani alikuwa na uwezo wa ku extend muda wa kuwa kwenye power maana taifa Ndio lilikuwa Changa na wao ndio waanzilishi ila Hakufanya ivo kwa sababu ya kuset misingi fulani mizuri, Mpaka leo ni Rais mmoja tu wa Marekani ndio amehudumu zaidi ya Mihula Miwili Fraklin Roosevelt