mbowe kadhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho Akili zake hazifanyi kazi tena anaishi kwa Akili za kuazima toka kwa chawa wake wajinga wajinga akina wenje Boniface na wenzaoKwasababu hiyo Ndiyo awe mwenyekiti wa maisha?
Endless chairmanship
Mbowe hata achakachuee aibe kura awe mwenyekiti haramu ajue kuwa heshima yake haipo tena yupo level moja na lipumba wa CUFKwa akili yako hata Lissu akishinda Mbowe atampa chama?
Sasa mbowe kawa kama mtu aliyechanganyikiwa, amekuwa na maneno ya kijinga sana akizani watanzania ni wajinga kama yeye, hajui kuwa masimango ni kigezo cha kudhihirisha kuwa yeye ni mbumbu mkubwaNI heri akae kimya kuliko kuongea maana anazidi kujivunjia heshima
He is running out of ideas yaani kafika kikomo cha kufikiri, huko ni kuendesha chama kama familia hata familia wale wanajitambua huwa wanamua kukaze tuseme kuendesha familia zezetaSasa
mbowe kadhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho Akili zake hazifanyi kazi tena anaishi kwa Akili za kuazima toka kwa chawa wake wajinga wajinga akina wenje Boniface na wenzao
Mbowe katengeneza Uadui mkubwa na Lisu na sasa mbowe anakesha kwa waganga wa kienyeji, ameunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na Boniface lengo ni kumdhoofisha Lisu, Mbowe anatumia pesa nyingi kupandikiza uadui kwa LisuUnadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?
Mbowe ana hofu kubwa ya mtu mwingine kuwa mwenyekiti kwa sababu ameiba sana pesa za chama kuna madudu mengi kafanya ikiwemo Rushwa za ngono kwa wabunge viti maalum, anajua ataumbuka sana pindi Lisu akiwa mwenyekitiHe is running out of ideas yaani kafika kikomo cha kufikiri
Changamoto Ndiyo kipimo cha akilri na Ndiyo njia Pekee ya suluhisho, binadamu akipata changamoto huamsha ubongoMbowe katengeneza Uadui mkubwa na Lisu na sasa mbowe anakesha kwa waganga wa kienyeji, ameunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na Boniface lengo ni kumdhoofisha Lisu, Mbowe anatumia pesa nyingi kupandikiza uadui kwa Lisu
Unanikumbusha mwenyekiti wa chama Fulani alipokuwa ameamua kuweka kambi ofsini hadi tumekisahau chama chake, chama cha siasa siyo chombo binafsiMbowe anatamani Lisu afe kama wangwe au ajiengue kama zito kwani sasa hapati usingizi anaishi kwa shida pesa zote alikwapua chadema miaka yote zinaliwa na chawa kama mchwa kapagawa ndiyo maana anatapatapa na kuongea ujinga mtupu
Changamoto Ndiyo kipimo cha akilri na Ndiyo njia Pekee ya suluhisho, binadamu akipata changamoto huamsha
Mbowe anatamani lisu afe ili apumueUnadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?
Kwa ujinga wa mbowe mda si mrefu chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya LipumbaUnanikumbusha mwenyekiti wa chama Fulani alipokuwa ameamua kuweka kambi ofsini hadi tumekisahau chama chake, chama cha siasa siyo chombo binafsi
Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Abdul mwenyewe sasa anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Swali muhimu sana hiliAlikuwa anakwenda kuwatetea hao kwa maslahi ya nani hadi amgharamikie?