Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa
Kwasababu hiyo Ndiyo awe mwenyekiti wa maisha?

Endless chairmanship
mbowe kadhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho Akili zake hazifanyi kazi tena anaishi kwa Akili za kuazima toka kwa chawa wake wajinga wajinga akina wenje Boniface na wenzao
 
NI heri akae kimya kuliko kuongea maana anazidi kujivunjia heshima
 
Mb
Kwa akili yako hata Lissu akishinda Mbowe atampa chama?
Mbowe hata achakachuee aibe kura awe mwenyekiti haramu ajue kuwa heshima yake haipo tena yupo level moja na lipumba wa CUF
 
Sasa

mbowe kadhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho Akili zake hazifanyi kazi tena anaishi kwa Akili za kuazima toka kwa chawa wake wajinga wajinga akina wenje Boniface na wenzao
He is running out of ideas yaani kafika kikomo cha kufikiri, huko ni kuendesha chama kama familia hata familia wale wanajitambua huwa wanamua kukaze tuseme kuendesha familia zezeta
 
Unadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?
Mbowe katengeneza Uadui mkubwa na Lisu na sasa mbowe anakesha kwa waganga wa kienyeji, ameunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na Boniface lengo ni kumdhoofisha Lisu, Mbowe anatumia pesa nyingi kupandikiza uadui kwa Lisu
 
He is running out of ideas yaani kafika kikomo cha kufikiri
Mbowe ana hofu kubwa ya mtu mwingine kuwa mwenyekiti kwa sababu ameiba sana pesa za chama kuna madudu mengi kafanya ikiwemo Rushwa za ngono kwa wabunge viti maalum, anajua ataumbuka sana pindi Lisu akiwa mwenyekiti
 
Mbowe katengeneza Uadui mkubwa na Lisu na sasa mbowe anakesha kwa waganga wa kienyeji, ameunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na Boniface lengo ni kumdhoofisha Lisu, Mbowe anatumia pesa nyingi kupandikiza uadui kwa Lisu
Changamoto Ndiyo kipimo cha akilri na Ndiyo njia Pekee ya suluhisho, binadamu akipata changamoto huamsha ubongo
 
Mbowe anatamani Lisu afe kama wangwe au ajiengue kama zito kwani sasa hapati usingizi anaishi kwa shida pesa zote alikwapua chadema miaka yote zinaliwa na chawa kama mchwa kapagawa ndiyo maana anatapatapa na kuongea ujinga mtupu
 
Unanikumbusha mwenyekiti wa chama Fulani alipokuwa ameamua kuweka kambi ofsini hadi tumekisahau chama chake, chama cha siasa siyo chombo binafsi
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine amepora pesa za chadema kwa miaka mingi kisha kuzitakatisha hizo pesa kwa visingizio kuwa alikikopesha chama, ni mwizi balaa hutengeneza madeni hewa madeni bandia kuharalisha ufisadi wake, sasa kaona madudu yake yote yanaenda kuwa wazi kaamua kuununua uenyekiti kwa gharama yeyote ikiwemo uchakachuaji na wizi wa kura
 
Mbowe atafanya kila mbinu awe mwenyekiti kwani sasa yupo tayari hata kuuza figo kwa yeyote atakayemsaidia kuwa mwenyekiti, lengo kuu ni kuficha madudu uovu wake ikiwemo Rishwa za ngono kwa wabunge viti maalum ,
 
Masimango ya mbowe yamedhihirisha kuwa mbowe sasa Alkili kichwani ni za kuazima kwa chawa wake wajinga wajinga akina Wenje boniface na wenzao
 
Hakuna mtu mwenye Akili timamu atamwelewa Mbowe zaidi ya chawa wanaokula pesa zake sasa, kwa kipindi hiki chawa wameneemeka sana wanamshukuru Lisu kumtia pressure Mbowe kwani bila pressure ya Lisu wasingekula pesa za mbowe ambaye huwa ni mchoyo balaa,
 
Sasa ni chawa kula pesa za mbowe kunywa kushinda kwa mbowe lakini kulala kuishi moyoni kwa Lisu, chawa wengi moyoni wapo na Lisu lakini machoni wapo na mbowe ili wale pesa zake
 
Mbowe anaununua uenyekiti na bahati nzuri ni zilezile pesa alikwapua chadema, hivyo sasa kuleni pesa zake kwa bidii kwani hizo pesa za chama alikusudia kula peke yake kwa uchoyo, kura ni Siri, kula pesa za mbowe piga kura kwa lisu
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Abdul mwenyewe sasa anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.
P
 
Back
Top Bottom