Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Vipi umeshapona ukichaa wako ulioupata baada ya uteuzi wa komandoo Makonda? Maana akili ilikuruka ghaflaSamia ni chameleon ktk umbile la binadamu
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaambiwa kimenuka
My country pipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Samia ni chameleon ktk umbile la binadamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa washenzi ndio wanaibuka muda huu??
Wewe ni MWONGO. Usijifanye ndiyo unajuwa kusoma kuliko wengine. Hebu linganisha IGA na HGA hapa clause by clause.Ukweli ni kwamba, tukiukubali uhuni wa IGA, tumeuza vizazi vyetu vyote.
Mpaka sasa IGA ipo vile vile, hakuna kilichobadilika. DP wakati wowote huko mbeleni wana uwezo wa kutudani tutimize masharti ya IGA, tukigoma, tutashtakiwa, na lazima tutalipishwa kwa kukiuka makubaliano.
Siku hizi za mwanzoni wanaweza wasitudai chochote kuhusiana na IGA, ili tujisahau na tuamini kuwa IGA haipo, lakini huko mbeleni ni lazima watatugeuka.
Baada ya kusainiwa jana kwa HGA ya DPW na Bandari zetu ii oparesheni Bandari zetu, hii operesheni 255 okoa Bandari zetu, imepigwa dafrao, by being overtaken by events, there is nothing more they can do now, it's just too little too late!.Oparesheni 255 okoa Bandari zetu
Duh...!, ama kweli Waswahili walisema "fadhila mfadhili mbuzi, utauonja mchuzi...!. Rais Samia leo ndio haaminiki!.Mwenyekiti wa Chadema , Feeman Mbowe , amesema Rais Samia haaminiki
Huwezi kutangulia kusema Rais Samia haaminiki, kisha ukasema ili tumuamini mkataba uwekwe hadharani, kama hujui kilichomo utasemaje haaminiki?!.na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani ,
anything is possible!Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa ( zilongwa mbali zitendwa mbali )
Hapa wananchi wanapaswa waelimishwe elimu ya utawala, mkataba wa IGA ndio public, mkataba wa HGA sio open to public!. Japo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema, lakini status za wenyeviti wa vyama vingine vyote ukiondoa CCM, ni sawa na wananchi, hawawezi kuuomba huo mkataba. Watu pekee wenye uwezo wa kuuomba huo mkataba ni Bunge la JMT, hivyo Chadema lazima iwatumie wabunge wake ndipo Mbowe auone huo mkataba!.Awali wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
We jamaa nakuonea huruma sana [emoji23] kila mwaka unasema kimenuka ila chadema inazidi kuelekea korongoni.Unaambiwa kimenuka
Naona unataka uchukue nafasi ya yule msemaji wenu mchaga nimemsahau jinaMaridhiano yamekufa
Thomaso Mlamba Asali ndio anaamika sio?View attachment 2790507
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu , Mwenyekiti wa Chadema , Feeman Mbowe...
Kwahiyo kwa sasa ile gia ya miaka 100 na mkataba wa milele imekufa mmekuja na IGA.Ukweli ni kwamba, tukiukubali uhuni wa IGA, tumeuza vizazi vyetu vyote...
Ungenyamaza ungehesabiwa kuwa na ufahamuYeye Mbowe anaaminika?
Aweke hadharani Maridhiano tuyaone
Mwamba kaunguruma.