Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Hawa washenzi ndio wanaibuka muda huu??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwabukusi , Mdude, na Slaa walivyokuwa wanapambana.
Badala ya kuwainga mkono waongeze nguvu, walianza kuwakejeli akina Slaa.


CCM mbele kwa mbele.
 
Tatizo la chadomo na mwenyekiti wao, hawana sera ya chama chao, wao huwa wanadandia matukio tu.

Wanasikitisha sana.

Kwa mama Samia wamefika, yeye huwa hajibu kabisa ujinga. Siasa zao za kuchokoza (provoke) pale zimegonga mwamba.

Tutabishana nao sisi tu JF hapa, mama akiibuka ni kazi tu.
 
Pesa tu za join the chain akikusanya mwenyewe ,akahesabu mwenyewe na matumizi akajipangia Mwenyewe. Hasabu yake mbona hajawahi weka hadharani? Mbona matumizi ya Ruzuku hajawahi kuwaeleza hata kuwasomea tu wanachama wake? Kwa akili yake hiyo hiyo ya form four amewahi kuona wapi mikataba inakuwa uwanjani kama ulezi au mtama wa kuku? Mbona yeye 2015 hakuweka mezani pesa alizofanya udalali wa kuuza nafasi za kugombea
urais hadi ubunge ? Kweli mbowe anawadharau sana nyumbu wa CHADEMA na kuwaona hawana akili na wala hawajitambui hata kidogo.
 
Ukweli ni kwamba, tukiukubali uhuni wa IGA, tumeuza vizazi vyetu vyote.

Mpaka sasa IGA ipo vile vile, hakuna kilichobadilika. DP wakati wowote huko mbeleni wana uwezo wa kutudani tutimize masharti ya IGA, tukigoma, tutashtakiwa, na lazima tutalipishwa kwa kukiuka makubaliano.

Siku hizi za mwanzoni wanaweza wasitudai chochote kuhusiana na IGA, ili tujisahau na tuamini kuwa IGA haipo, lakini huko mbeleni ni lazima watatugeuka.
Wewe ni MWONGO. Usijifanye ndiyo unajuwa kusoma kuliko wengine. Hebu linganisha IGA na HGA hapa clause by clause.

Mnaandika tu kuendeleza MIHEMUKO. Tafuteni agenda mpya. Hii IMEENDA
 
Oparesheni 255 okoa Bandari zetu
Baada ya kusainiwa jana kwa HGA ya DPW na Bandari zetu ii oparesheni Bandari zetu, hii operesheni 255 okoa Bandari zetu, imepigwa dafrao, by being overtaken by events, there is nothing more they can do now, it's just too little too late!.
Mwenyekiti wa Chadema , Feeman Mbowe , amesema Rais Samia haaminiki
Duh...!, ama kweli Waswahili walisema "fadhila mfadhili mbuzi, utauonja mchuzi...!. Rais Samia leo ndio haaminiki!.
na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani ,
Huwezi kutangulia kusema Rais Samia haaminiki, kisha ukasema ili tumuamini mkataba uwekwe hadharani, kama hujui kilichomo utasemaje haaminiki?!.
Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa ( zilongwa mbali zitendwa mbali )
anything is possible!
Awali wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
Hapa wananchi wanapaswa waelimishwe elimu ya utawala, mkataba wa IGA ndio public, mkataba wa HGA sio open to public!. Japo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema, lakini status za wenyeviti wa vyama vingine vyote ukiondoa CCM, ni sawa na wananchi, hawawezi kuuomba huo mkataba. Watu pekee wenye uwezo wa kuuomba huo mkataba ni Bunge la JMT, hivyo Chadema lazima iwatumie wabunge wake ndipo Mbowe auone huo mkataba!.

Ombi hili liliishatolewa Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

P
 
Huyo Mbowe ndo haaminik na ajue kuwa

Rais wetu anaaminika na ndio maana ni MZALENDO no 1 wa nchi hii.

Anaaminika ndani na nje ya nchi hilo halina ubishi
 
Mbowe asidhani kila mtu ni nyumbu kama hao Machadema.

Aendelee kuwahibiria stori za miaka 100 mar mkataba wa Milele sijui haturuhusiwi Kuendeleza Bandari Hadi DP World aamua na ujinga mwingine kama huo.

Mjadala wa Bandari jmeshafungaa n mkataba wa Kimataifa ni Siri
 
Huyu bado yuko na Bandari watu wamesha ondoka huko. Mama yuko Zambia kuwahakikishia wazambia tanzania logistics infrastructure ina uwezo wa kuhudumia bidhaa zao kuingia na kutoka kwa ufanisi mkubwa.
Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom