LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi Yake na Lissu yupo Kwa ajili ya maslahi Yake.
Back to the point.
Vita Kati ya Lissu Vs Mbowe ni Vita Kati ya mtoto wa mjini Mbowe vs Bushman Lissu.
Mbowe akishindwa itakuwa ni pigo Kwa watoto WA mjini wote.
Kwamba Mbowe mtoto WA mjini kazidiwa mbinu na Lissu kutoka kijijini.
Yatakuwa ni yale Yale ya Nyerere vs Tanu.
Tanu watoto WA mjini wakazidiwa maarifa na Nyerere kijana kutoka Mkoa WA Mara ambae hata Kiswahili chake tu kilikuwa na Matege.
Uncle Mbowe ukishindwa uchaguzi huu utakuwa umewavua nguo watoto wote wa mjini.
Utafanya watoto WA mjini waonekane mafala tu mbele ya mabush men.
Go Mbowe.. I believe unaweza. Usikubali kushindwa na Bushman.
Wewe ni mtoto wa mjini. Huwezi shindwa na Mabush men...
FAM mbele Kwa mbele