Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utashangaa nini ! Wakati watoto wa mjini mko busy kucheza singeli buza kwa mpalange , Bushman anajishughulisha na mambo muhimu kwa ajili ya taifa.Mimi pia nitamshangaa zaidi
Mbowe ni pandikizi (undercover) wa wale jamaa wavaa kaunda suti, hata kugombea uenyekiti wa Chadema ni shinikizo kutoka kwa hao mabwana zake ili ku-suppress harakati za kweli za kupigania mabadiliko, Haki na demokrasia. Mbowe hana tofaufi na Augustine Mrema, John Cheyo, au Prof. Ibrahim Lipumba.
Mbowe siyo dhamiri yake kugombea cheo cha uenyekiti wa Chadema Mwaka huu, isipokuwa ameshinikizwa na hao waajiri wake wa kificho, hana uwezo wa kuwakatalia na Wala hawezi kujitoa kwenye kugombea cheo hicho huko Chadema kwa sababu yupo anatekeleza 'special mission' aliyotumwa kuitekeleza. Kwa kawaida, Mwanajeshi kukataa kutii AMRI ya kutoka kwa Kamanda wake inahesabika kuwa ni UHAINI.
Insha' Allah.🙏🙏🙏
Personally sitaki kabisa Lissu achukue Uenyekiti Kwa sababu ana utoto utoto mwingi Sana . Halafu yupo kama kichaa vile anaweza kuleta machafuko
Chadema kubwa kuliko MBOWE na LISSU , Chadema aiwezi kufa nduguUsiseme Mbowe Vs Lisu
sema
Mbowe Vs CHADEMA .
Mbowe akishinda chama kitakufa chenyewe maana hata kampeni zake hazitakuwa na hoja wala dira.
Lakini pia chama kina jengwa na vijana wenye Moyo kama walivyo BAVICHA .
BAVICHA wote wanamuunga mkono Lisu.
Mbowe akitumia Goli la mkono kushinda atakua alefanya dhambi moja kubwa sana ambayo itamtafuna kizazi chake chote na damu ya wale waliofia chama wakipigania uchaguzi wa haki zitamlaani pia.
Lissu akishindwa ndio Chama kitakuwaje?Usiseme Mbowe Vs Lisu
sema
Mbowe Vs CHADEMA .
Mbowe akishinda chama kitakufa chenyewe maana hata kampeni zake hazitakuwa na hoja wala dira.
Lakini pia chama kina jengwa na vijana wenye Moyo kama walivyo BAVICHA .
BAVICHA wote wanamuunga mkono Lisu.
Mbowe akitumia Goli la mkono kushinda atakua alefanya dhambi moja kubwa sana ambayo itamtafuna kizazi chake chote na damu ya wale waliofia chama wakipigania uchaguzi wa haki zitamlaani pia.
Hivi timu ya mbowe imeshajifia kabla ya muda?
Simuoni bon yai, ntobi,yerico,sugu na zile takataka nyingine zikijibaraguza
Pengine press ya lema na ushindi wa m/bavicha anayemuunga mkono lisu umewasha alarm kwao kuona upepo ulivyobadilika.
Huyu jamaa nimewahi kumuambia kua mada anazofaa kuzianzisha ni za uganga na ulozi.Lissu Bushman? Huwa mnatumia viungo gani kufikiri?
Lissu akishindwa ndio Chama kitakuwaje?
Tangu enzi za gazeti la Sani timu ya Bush Star ndiyo ilikuwa na mashibiki wengi zaidi.Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi Yake na Lissu yupo Kwa ajili ya maslahi Yake.
Back to the point.
Vita Kati ya Lissu Vs Mbowe ni Vita Kati ya mtoto wa mjini Mbowe vs Bushman Lissu.
Mbowe akishindwa itakuwa ni pigo Kwa watoto WA mjini wote.
Kwamba Mbowe mtoto WA mjini kazidiwa mbinu na Lissu kutoka kijijini.
Yatakuwa ni yale Yale ya Nyerere vs Tanu.
Tanu watoto WA mjini wakazidiwa maarifa na Nyerere kijana kutoka Mkoa WA Mara ambae hata Kiswahili chake tu kilikuwa na Matege.
Uncle Mbowe ukishindwa uchaguzi huu utakuwa umewavua nguo watoto wote wa mjini.
Utafanya watoto WA mjini waonekane mafala tu mbele ya mabush men.
Go Mbowe.. I believe unaweza. Usikubali kushindwa na Bushman.
Wewe ni mtoto wa mjini. Huwezi shindwa na Mabush men...
FAM mbele Kwa mbele
Lissu Bushman? Huwa mnatumia viungo gani kufikiri?
Twendeni naye hivyo hivyo atakavyo, ataishia kuukimbia uzi wake.Huyu jamaa nimewahi kumuambia kua mada anazofaa kuzianzisha ni za uganga na ulozi.
Huku kwenye siasa anajidhalilisha.
Chama kimejaa watoto. Ukihesabu watu wazima wanaojitambua ni wachache sana halafu unataka tukupatie nchi kweli?Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi Yake na Lissu yupo Kwa ajili ya maslahi Yake.
Back to the point.
Vita Kati ya Lissu Vs Mbowe ni Vita Kati ya mtoto wa mjini Mbowe vs Bushman Lissu.
Mbowe akishindwa itakuwa ni pigo Kwa watoto WA mjini wote.
Kwamba Mbowe mtoto WA mjini kazidiwa mbinu na Lissu kutoka kijijini.
Yatakuwa ni yale Yale ya Nyerere vs Tanu.
Tanu watoto WA mjini wakazidiwa maarifa na Nyerere kijana kutoka Mkoa WA Mara ambae hata Kiswahili chake tu kilikuwa na Matege.
Uncle Mbowe ukishindwa uchaguzi huu utakuwa umewavua nguo watoto wote wa mjini.
Utafanya watoto WA mjini waonekane mafala tu mbele ya mabush men.
Go Mbowe.. I believe unaweza. Usikubali kushindwa na Bushman.
Wewe ni mtoto wa mjini. Huwezi shindwa na Mabush men...
FAM mbele Kwa mbele
Wote wa bush wale. Lini machame imeanza kuwa mjini bwashee. Sema Mbowe niwizi na jambazi huu ndo utoifauti pekeeNianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi Yake na Lissu yupo Kwa ajili ya maslahi Yake.
Back to the point.
Vita Kati ya Lissu Vs Mbowe ni Vita Kati ya mtoto wa mjini Mbowe vs Bushman Lissu.
Mbowe akishindwa itakuwa ni pigo Kwa watoto WA mjini wote.
Kwamba Mbowe mtoto WA mjini kazidiwa mbinu na Lissu kutoka kijijini.
Yatakuwa ni yale Yale ya Nyerere vs Tanu.
Tanu watoto WA mjini wakazidiwa maarifa na Nyerere kijana kutoka Mkoa WA Mara ambae hata Kiswahili chake tu kilikuwa na Matege.
Uncle Mbowe ukishindwa uchaguzi huu utakuwa umewavua nguo watoto wote wa mjini.
Utafanya watoto WA mjini waonekane mafala tu mbele ya mabush men.
Go Mbowe.. I believe unaweza. Usikubali kushindwa na Bushman.
Wewe ni mtoto wa mjini. Huwezi shindwa na Mabush men...
FAM mbele Kwa mbele
Kwani UDP imekufa ?Chadema kubwa kuliko MBOWE na LISSU , Chadema aiwezi kufa ndugu