Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumshobokea kiasi hicho mwanaume mwenzako haileti afya ya kijisia punguza shobo.Mbowe kazaliwa mjini Daslamu
Hili nalo neno mkuu.Kijisifia utoto wa mjini ni ushamba na ulimbukeni tu. Mtu jisifie ume achieve nini kwenye maisha yako,kuwa mjini halafu huna mipango ya maana ni upumbavu mkubwa sana tu. Mbona Magufuli mliyemuta mshamba aliwapelekea moto hadi mkaukimbia mji wenyewe. Hizi ndiyo tunaita sifa za kijinga. Na mara nyingi hata ukiangalia mashoga wengi hapo mjiji ni wale wanajiita mabontauni,wanataka kuishi maisha ya kimjini wakati hawana mipango ya kupata pesa mwisho wake wanaishia kuwa mashoga.
Hala amesahau hao wajumbe 1200 85% ni wale ametumia kuwaita Bushman.Ngoja tuoneWajumbe 1200 ndiyo watafanya hiyo kazi ya taasisi punguzeni jazba mtapata maradhi yasiyotibika shauri yenu.
Mtoto wa mjini , kakutana na vyuma vipya ambao ni watoto wa mjini kuliko yeye, Mnyukano ni mkali sana , mtoto wa mjini amekili katika baraza la BavichaNianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi Yake na Lissu yupo Kwa ajili ya maslahi Yake.
Back to the point.
Vita Kati ya Lissu Vs Mbowe ni Vita Kati ya mtoto wa mjini Mbowe vs Bushman Lissu.
Mbowe akishindwa itakuwa ni pigo Kwa watoto WA mjini wote.
Kwamba Mbowe mtoto WA mjini kazidiwa mbinu na Lissu kutoka kijijini.
Yatakuwa ni yale Yale ya Nyerere vs Tanu.
Tanu watoto WA mjini wakazidiwa maarifa na Nyerere kijana kutoka Mkoa WA Mara ambae hata Kiswahili chake tu kilikuwa na Matege.
Uncle Mbowe ukishindwa uchaguzi huu utakuwa umewavua nguo watoto wote wa mjini.
Utafanya watoto WA mjini waonekane mafala tu mbele ya mabush men.
Go Mbowe.. I believe unaweza. Usikubali kushindwa na Bushman.
Wewe ni mtoto wa mjini. Huwezi shindwa na Mabush men...
FAM mbele Kwa mbele
Kwamba wewe ni mtaalamu WA kupima Akili za watu Sio? Hongera Sana mkuu ila hukupaswa kuuona uzi wangu kama kampeni Kwa Mbowe.Hoja za kitoto, FAM anajisikiaje kupigiwa kampeni na watu wenye akili ya aina yako mtoa mada?
Au ndio the end will justify the means!
Naona nimegusa kidonda chako,umeruka kama umejambishwa vile. Mimi siyo bushman bali mimi ndiye Bush kabisa. Unaringia utoto wa mjini bila pesa utaishia kuwa mchicha mwiba tu.Aisee.
Wewe ni Bushman?
Unaelewa maana ya kushoboka?
Anyways na wewe kuweka picha ya mwanaume mwenzako kwenye avatar yako imekaaje hiyo?
Ngoma imeisha isha mkuu, ila mtoto wa mjini chama bado kinamuhitaji sana , kuliko anavyovikiria , hata sanamu lake siku moja atajengewa tu ,Mpira dakika tisini
Huwezi kumwacha bushman eti aongoze CHAMA, Mbowe anahitajika kwa angalu miaka mitano mingine.Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.