Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

100% Fact
 
Machame hakuna mjini wewe.

Ulishawahi kusikia Machame Mjini?

Kama familia yako haikuwa Dar mwaka 1900 wewe wakuja tu.
 
Machame hakuna mjini wewe.

Ulishawahi kusikia Machame Mjini?

Kama familia yako haikuwa Dar mwaka 1900 wewe wakuja tu

Mbowe kazaliwa Dar mwaka 1961
 
Huyo anaamini kama uliishi mjini halafu haukuwahi kufanya kazi Disco na burudani, basi wewe ni sawa na kusema haujawahi kuishi mjini
Sijasema hivyo
 
Huyo anaamini kama uliishi mjini halafu haukuwahi kufanya kazi Disco na burudani, basi wewe ni sawa na kusema haujawahi kuishi mjini
Sasa sie watoto wa Jumbe Tambaza tuliogawa ardhi yetu hapo Dar mpaka ikajengwa hiyo iliyo Ikulu leo, tuliojenga misikiti na kutoa ardhi yetu makaburi watu wazikwe, lakini kwa sababu ya maadili ya kifamilia hatujaenda hizo Disco na sie si watoto wa mjini?

Sie wajukuu wa Pazi Chamgui, wazee wetu waliojenga hilo kanisa la Azania Front na kulimaliza mwaka 1903, ambalo Mbowe kalikuta na kasali tu bila kujua nani kajenga, lakini hatukuenda disco kwa sababu ya maadili ya familia, utasema na sisi si watoto wa mjini?
 
Sasa hivi yupo wapi🤣
Sasa hivi yuko A-city kwa wale wanaojiita wameshindikana. Naona kaanza na mbunge wao bila shaka madon na watoto wote wa mjini ashawatuliza. Jamaa akiingiai sehemu huwa anahakikisha hakuna anayevuma kuliko yeye.
 
Mbowe kazaliwa mjini Daslamu mwaka 1961.

As a matter of fact hata Hao unao wasema ni wakuja tu. Wazaramo ni wabena.

Wazaramo walitoka Iringa wakapita Milima ya Uluguru then baadae kundi moja likaondoka likaja Hadi Chalinze wakaweka kambi baada ya muda kundi lingine likajikata kuja Mzizima.

Walio baki Moro wakaitwa waluguru walio baki Chalinze wakaitwa wakwere na waliokuja Dar wakaitwa wazaramo.


My mother a zaramo.

My father mdengereko.
 
Ngoja nikupe falsafa moja toka kitabu kikuu duniani: Mungu ameumba vitu vyenye nguvu na vinyonge kutoa somo kuwa dharau si nzuri. Cha ajabu chenye nguvu hufedheheshwa na kinyonge, kula chuma hicho!
 
Sijasema Wazaramo, nimesema waliokuwa mjini 1900. Walioanzisha mji.

Walikuwapo mpaka Wamanyema, Wandengereko, Wahindi, Wamakonde.
 
Unatakiwa kujua kuwa ccm Ina wenyewe ,hata chadema pia Ina wenyewe .
Sasa wenye chadema Yao sio LISSU , HECHE Wala LEMA.
LISSU na LEMA walikaribishwa chadema kutoka vyama vingine iweje wamseme vibaya mwenyekiti wao Kwa kuwa alimpokea LOWASSA kutoka ccm ?
Wenye chadema pamoja na Mbowe wasimame kweli kweli kuakikisha chadema inapata watu sahihi na sio mamluki kama LEMA NA LISSU.
Dispora pamoja na TEC wanatumia vibaya ushawishi na udhamini wao wakijua wanaijenga chadema ya Sasa kumbe wanaiaribu mfano hivi Sasa chadema imeshagawanyika, wanaomfuata Mbowe na wanaomfuata lisuu .
Kuna watu awatakiwi kabisa kuongea chochote juu ya chadema Kwa Sasa mfano Lissu , LEMA na HECHE
 
JIULiZe swali dogo

Kwann watoto wa bush wanaweza ishi na wanyama wakali kama Simba ,chui ,tembo na wengine wakati watoto wa mjini wakiona hao wanyama wanajinyea nyea

wajuze kama wao watoto wamjini wambie wamekutana na warthog maarufu kasongo
 
Sijasema Wazaramo, nimesema waliokuwa mjini 1900. Walioanzisha mji.

Walikuwapo mpaka Wamanyema, Wandengereko, Wahindi, Wamakonde.
hao hawakuwa watoto wa mjini ila wapelelezi wa tawala mbalimbali ,wazaramo ndo watoto wamjini
 
Chama kimejaa watoto. Ukihesabu watu wazima wanaojitambua ni wachache sana halafu unataka tukupatie nchi kweli?

Huo ndio ujinga unaoligharimu Taifa hili . Watu wana waza vyama vya watu wachache badala ya Taifa.
Hii nchi sio ya CCM wala Chadema .
Mtu makini asiye na hulka za ufisadi anapigania Taifa sio kakikundi ka wetu wachache .

Watu bora wasiopenda ufisadi wapo ndani ya vyama vyote . Ukitaka wazee wapo wenye uzalendo kila chama wapo lakini pia hatuwezi kukubali kuwa vijana wanahitajika sana kwa sababu wazee ni waroho wa madaraka kwa misingi ya hofu kuwa wao ndio wenye nchi na wanaweza kuwaridhisha watoto wao
 
Kijisifia utoto wa mjini ni ushamba na ulimbukeni tu. Mtu jisifie ume achieve nini kwenye maisha yako,kuwa mjini halafu huna mipango ya maana ni upumbavu mkubwa sana tu. Mbona Magufuli mliyemuta mshamba aliwapelekea moto hadi mkaukimbia mji wenyewe. Hizi ndiyo tunaita sifa za kijinga. Na mara nyingi hata ukiangalia mashoga wengi hapo mjiji ni wale wanajiita mabontauni,wanataka kuishi maisha ya kimjini wakati hawana mipango ya kupata pesa mwisho wake wanaishia kuwa mashoga.
 
Wajumbe 1200 ndiyo watafanya hiyo kazi ya taasisi punguzeni jazba mtapata maradhi yasiyotibika shauri yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…