Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenye ushahidi wa pesa za Abdul ni marehemu.
 
Sasa tunatumia hoja Gani ili kuwalazimisha ccm waondoke cdm ichukue dola kama mbowe hataki ku stepdown
Tutumie mbinu ya Musumbiji? maana ndizo sera za Lissu hataki maridhiano.
 
Wewe ni mjinga ujue
 
Unao ushahidi wa jambo hilo.....au na wewe ndio wale tumesikia... πŸ˜€ πŸ˜€
 
R.I.P Mzee Kibao, Sultan Mbowe ameshindwa hadi kutoa salamu za siku kuu kwa wanachama wake. Akijitokeza tu mitandaoni wanachama wanapiga kwenye kichwa.
 
Kwanii waliochukua fomu ya kugombea ni Lisu na Mbowe tu........mbona wa tatu ampendi kumuongelea?
 
Acha uchawa kwa ilipofika chadema inahitaji falsafa mpya mbowe hafai
 
Overstaying is not an issue so long as katiba haijavunjwa.
Pumbavu, sasa mnapigania nini huko upinzani? Kama "overstaying is not an issue" kwanini basi CCM isiachwe tu ikaendelea kutawala milele? Ajabu sana, pesa za Abdul zimewatoa akili kabisa.
 
Chawa wa Mbowe mnajidanganya sana,wanachama,washabiki na wapenda mageuzi wote wako upande wa Lissu sasa kama atawahonga hao 1200 watakaopiga kura wakamchagua ajue ndiyo atakuwa ameilekeza Chadema qibla.
 
dah!
gentleman mbona unasema ukweli mtupu bila woga aise?πŸ’
 
Pumbavu, sasa mnapigania nini huko upinzani? Kama "overstaying is not an issue" kwanini basi CCM isiachwe tu ikaendelea kutawala milele? Ajabu sana, pesa za Abdul zimewatoa akili kabisa.
CCM inapambana na kushinda.

Hata hao chadema wapambane na mshindi apatikane. Sio kuachiana madaraka kama urithi.
 
CCM inapambana na kushinda.

Hata hao chadema wapambane na mshindi apatikane. Sio kuachiana madaraka kama urithi.
Baada ya miaka 10 ya uongozi wa Kikwete kama Mwenyekiti wa CCM, kwanini hakupambania tena? Acha ujinga
 
Baada ya miaka 10 ya uongozi wa Kikwete kama Mwenyekiti wa CCM, kwanini hakupambania tena? Acha ujinga
CCM uenyekiti unakoma baada ya kumpata rais mpya. Kiitifaki yeye ndiye anakuwa mwenyekiti wa chama. Sasa ulitaka Jakaya aendelee vipi? rais Samia amekuwaje mwenyekiti CCM?

Chadema nafasi ya mwenyekiti inagombewe kila baada ya mika 5. Hata wewe kama ni mwanachama kachukue fomu ugombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…